Dodoma kwa wagogo ni kugumu sana.....hamia Dar kwa wazaramo mji wao unawepesi wepesiHabari za leo wanajamiiforums.
Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe.
Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani.
Naweza kuwa kondakta wa daladala,kiwandani,saidia fundi,najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K.
Mimi ni mwanaume umri miaka 24.
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano yangu ni 0624008133.
Daah mkuu emu Vaa viatu vya jamaa alafu rudi kwenye ulichokiandika kweli uhisi chochote nafsini mwako?Mkuu ongeza nauli panda dsm kabisa ,huwezi kosa hata kazi ya kuokota makopo
Yaani kuna watu hawataki kujiongezaDaah mkuu emu Vaa viatu vya jamaa alafu rudi kwenye ulichokiandika kweli uhisi chochote nafsini mwako?
Mkuu ongeza nauli panda dsm kabisa ,huwezi kosa hata kazi ya kuokota makopo
Dhihaka na mdhaha kwenye matatizo ya watu, heri yako wewe ndugu yangu.
# Mleta mada I hope wenye msaada watakusaidia.
Yaani mtu ana 10,000 tu, aongeze ya kutoka wapi? Atakula nini? Na atalala wapi? Akiugua je? Kama upo tayari kumu host mimi ntamuongezea nauliKwani tatizo lipo wapi,watu wanaishi kwa kuokota makopo na kulisha familia hapa hapa mjini acha dharau basi ...
Hio ni kazi kma kazi nyingine
Kwani tatizo lipo wapi,watu wanaishi kwa kuokota makopo na kulisha familia hapa hapa mjini acha dharau basi ...
Hio ni kazi kma kazi nyingine
Kama alizungumza kwa wema sawa na kama alizungumza kwa uzuri ama ubaya atajua yeye mwenyewe.Yaani mtu ana 10,000 tu, aongeze ya kutoka wapi? Atakula nini? Na atalala wapi? Akiugua je? Kama upo tayari kumu host mimi ntamuongezea nauli
Wote hatujui kama ni kwa wema au kwa ubaya, ni hakuna sababu ya kumjibu kwa ubaya zaidi ya kutenda wema na kuendelea na maishaKama alizungumza kwa wema sawa na kama alizungumza kwa uzuri ama ubaya atajua yeye mwenyewe.
Habari za leo wanajamiiforums.
Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe.
Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani.
Naweza kuwa kondakta wa daladala,kiwandani,saidia fundi,najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K.
Mimi ni mwanaume umri miaka 24.
Natanguliza shukrani.
Mawasiliano yangu ni 0624008133.
Hongera kwa kupambana, kujitangaza nayo ni moja ya kufanikiwa, mimi nauza nguo za mtumba hasa za watoto, tunapeleka sehemu tofauti hata vijijini, vp upo tayari kufanya hiyo kazi, kama upo tayari ni pmAll the ßest
M/Mungu akuwekee wepesi kwenye hili