Hata kuokota vyuma chakavu ni kazi. Au kupita majumbani mwa watu kukusanya taka na kuzipeleka dampo au wanakokusanyia. Mjini kila kitu ni fursa. Wanaikukebei hawaijui Dar.Kwani tatizo lipo wapi,watu wanaishi kwa kuokota makopo na kulisha familia hapa hapa mjini acha dharau basi ...
Hio ni kazi kma kazi nyingine