Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Acha ujinga. Rudisha yai na kuku wa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitie hofu,huyo kuku kapendezwa na hizo nguo hapo,akaona km Ni kiota,Jambo la maana waambie majirani zako ,wape na yai lao.
Jitahidi kufunga mlango laa sivyo kila siku atakuwa anatagia hapohapo
Kweli,Kama Pana blanketi na mto ,anajitagia hapohapoNa dharau zikizidi atatagia kitandani kwake
Angalia na unaemtishia hakikisha unamjua vizuriUtajikuta unakuwa tetea na wewe shauri yako
JitambulisheAngalia na unaemtishia hakikisha unamjua vizuri
Haina umuhimu pia haitakusaidia chochoteJitambulishe