Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Dec 13, 2024 #21 Acha ujinga. Rudisha yai na kuku wa watu.
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Dec 13, 2024 #22 Lastmost said: Usitie hofu,huyo kuku kapendezwa na hizo nguo hapo,akaona km Ni kiota,Jambo la maana waambie majirani zako ,wape na yai lao. Jitahidi kufunga mlango laa sivyo kila siku atakuwa anatagia hapohapo Click to expand... Na dharau zikizidi atatagia kitandani kwake
Lastmost said: Usitie hofu,huyo kuku kapendezwa na hizo nguo hapo,akaona km Ni kiota,Jambo la maana waambie majirani zako ,wape na yai lao. Jitahidi kufunga mlango laa sivyo kila siku atakuwa anatagia hapohapo Click to expand... Na dharau zikizidi atatagia kitandani kwake
S Sun is Sun JF-Expert Member Joined Mar 13, 2024 Posts 649 Reaction score 975 Dec 13, 2024 #23 Ndiyo ni uchuro..
Lastmost JF-Expert Member Joined Jan 30, 2022 Posts 802 Reaction score 919 Dec 14, 2024 #24 Squidward said: Na dharau zikizidi atatagia kitandani kwake Click to expand... Kweli,Kama Pana blanketi na mto ,anajitagia hapohapo
Squidward said: Na dharau zikizidi atatagia kitandani kwake Click to expand... Kweli,Kama Pana blanketi na mto ,anajitagia hapohapo
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 487 Reaction score 883 Dec 16, 2024 #25 kingundya said: Utajikuta unakuwa tetea na wewe shauri yako Click to expand... Angalia na unaemtishia hakikisha unamjua vizuri
kingundya said: Utajikuta unakuwa tetea na wewe shauri yako Click to expand... Angalia na unaemtishia hakikisha unamjua vizuri
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Dec 16, 2024 #26 Manyahe said: Angalia na unaemtishia hakikisha unamjua vizuri Click to expand... Jitambulishe
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 487 Reaction score 883 Dec 16, 2024 #27 kingundya said: Jitambulishe Click to expand... Haina umuhimu pia haitakusaidia chochote