Nina Huzuni sana Nishaurini!

Nina Huzuni sana Nishaurini!

Tafuta wataalam wa ku flash simu tu watamaliza msongo wa mawazo ulokuandama
 
Inavyoonekana haukuchukua resit halafu kingine hiyo simu nenda kai flash uweke rom mpya ambayo unaweza itumia internationaly nakushauri nenda kwenye maduka makubwa ya simu yanayoaminika mkuu ni kama 20000/= hivi mpaka ifanye kazi JIPANGE
Mkuu hio inafanyeje kazi
 
Mkuu hio inafanyeje kazi
Yaani ni kuwa hiyo simu ilikuwa ipo manufactured itumike kwenye nchi fulani mfano kwenye series za samsung j2 kuna j200f(inatumika saudi arabia tu),j200h(india,china ),j200g(inatumika india,malaysia,indonesia) sasa hapo ni kuwa certificate za hiyo simu zipo restricted kwa nchi fulani ila kama utataka kuitumia kwa nchi tofauti na hizo lazima ukaibadili ceryificate kwa ku ondoa rom iliyopo (android os) ambayo ina certificate za nchi iliyowekewa itumike na ku i wekea rom ambayo ina certificate zinazoiruhusu itumike worldwide NDO MANA NIKASEMA PELEKA KWA MA (IT) WA MADUKA MAKUBWA WAO WATAKUTENGENEZEA WENYEWE NA NI BEI RAHISI TU 15000 HADI 20000 MKUU na itafanya kazi
 
Kwa dar es salaam Duka Gani litanisaidia
 
Pole sana boss nimekuona leo viunga vya Coet unaonkna hauko sawa kabisa
 
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly
si urudishe dukani uliponunulia?
 
Yaani 500k unalialia unaomba ushauri wakati wewe ulishasemaga ni masonic pre-member, kwa secret society hyo si hela ya supu tu
 
Pole kijana, inaonyesha hiyo simu ulinunua mkononi kwa mtu sio dukani, hiyo ndio hasara ya kununua vitu mikononi mwa mtu, kwani ungenunua dukani ungepewa na risti ungeirudisha wakakubadirishia nyingine, hilo halina ugumu wwt, kama ulinunua mkononi kwa mtu huyu mtu utampata wapi? Au umesahau duka ulilonunua?
 
huyo mtu yupo nasoma nae chuo kimoja sema naona ananizungusha..Nishauri Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom