Nina iangalia SA, kwa jicho la huruma sana, wakizifuata saundi za wanasiasa uchwara, watakiona!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo ujazia pengo la 20%,wanatokea wanasiasa uchwara jamii ya kina Heche, wanawa propergate, wazungu hawafai, ningelikuwa hiyari yangu wote ningehamishia rukwa na manyara,
Hawa wanasiasa uchwara wenye Njaa huwa ni hatari sana pale matumbo yao ya uchu yanapokuwa na Njaa kali, huingiwa na upofu mkali, hawaoni mbele tena!
 
Kaishi huko.. wakuoe!
 
Sio wanasiasa ni waafrika wenyewe wewe na mimi kama uwezi No reform No election hipo siku mtasema mpaka makabira ya watu watu weusi
No reform no elections, is a failure propaganda, and uselessly, sasa hivi tuna, #YES TO ELECTION, AND NO TO REFORMATION.
 
Mwanasiasa Yuko tayari aharibu uchumi Ili yeye apate madaraka so kama wakipora Ardhi Kwa Wazungu wakawaa weusi ambao ni ma.lazy itawapa kura kwao ni sawa maana Watoto wao Watakuwa kwenye Neema wakati nyumbu walio.wengi Wakiwa kwenye misery.

Huo ndio upumbavu ambao machadomo yanawalisha nyumbu Hilo wasioeoewa mambo ya Uchumi utasikia ameuza Bandari Kwa wajomba mara ameleya Wachina na nonsense zingine kama hizo.

Nyumbu ni kama wanawake wanapenda ahadi hewa maana hawawezi kutumia akili.
 
No reform no elections, is a failure propaganda, and uselessly, sasa hivi tuna, #YES TO ELECTION, AND NO TO REFORMATION.
Wewe usafiri wala ujawahi kusafiri wa afrika ni nyani kama wewe na mimi.
wenzetu wanaheshimu haki na kuleta maendeleo sio ngozi ya tako nyeusi
 
Facts!
Waafrica tumejaliwa kitu kinaitwa, "" KUZUNGUMZA KWA KWA MSISITIZO HUKU TUKIPANDISHA MORI " KIBAYA WAJINGA WANAYABEBA, I SAY NO!!, HATWENDI HIVYO!
 
Heche anahusiana na nn na SA?
Au ndo Malema?
 
Kuna Mtu timamu kweli atatekwa na akili za kina Heche?
Kwani wewe huoni nyumbu wanavyojazana huko? Katika hlo ya kawaida watu wenye akili na uwezo wa kupambanua mambo ni wachache Duniani ila ma nyumbu ni wengi so mjanja mmja alikusanya nyumbu wa kutosha anatoboa.
 
Kwani wewe huoni nyumbu wanavyojazana huko? Katika hlo ya kawaida watu wenye akili na uwezo wa kupambanua mambo ni wachache Duniani ila ma nyumbu ni wengi so mjanja mmja alikusanya nyumbu wa kutosha anatoboa.
Jenga hoja sio mnaandika matusi

Jambo Kama hili kaliongelea marehemu Msuya katika dk 45 ITV kuwa sisiemu Ina watu wasioweza kujenga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…