Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa waafrika siku zote ni wapuuzi kweli, they can't see far!,, wakijazwa wanajaa, ni kama Ile hadithi ya mwl. Jkn ya kichupa.Unamfananishaje Heche na wanasiasa ,yaani elimu anaeitoa Heche ndo ujinga?
Waafrika weusi mi wapuuzi sn asilimia kubwa