Nina iangalia SA, kwa jicho la huruma sana, wakizifuata saundi za wanasiasa uchwara, watakiona!

Unamfananishaje Heche na wanasiasa ,yaani elimu anaeitoa Heche ndo ujinga?
Waafrika weusi mi wapuuzi sn asilimia kubwa
Kweli kabisa waafrika siku zote ni wapuuzi kweli, they can't see far!,, wakijazwa wanajaa, ni kama Ile hadithi ya mwl. Jkn ya kichupa.
 
Nimesema jamii ya watu aina ya HECHE, wanaowajaza watu ujinga bila kuangalia madhara ya siku za usoni.

Kwa kuwa waporamali kupitia Kagoda, Meremeta, IPTL, SGR, TTCL, ATCL ni wa aina ya Heche? Watanzania ni manyani tu yaliyochangamka kuna haja ya kufanya serious research kutujua vizuri genetically kwa kweli!

Rekebisha bandiko lako kiongozi linakutia aibu tu!
 
Jenga hoja sio mnaandika matusi

Jambo Kama hili kaliongelea marehemu Msuya katika dk 45 ITV kuwa sisiemu Ina watu wasioweza kujenga hoja
Mimi na wewe nani Huwa Anajenga hoja za kiuchumi humu jf?

Aliyekwambia Mimi ni mwana CCM ni nani?
 
Tuachane na mambo ya Heche, ukweli ni kwamba South inaenda kufa kifo kigumu kama Zimbabwe,Siasa inamuumiza sana mwafrica na bahati mbaya hatujawahi kutawala yeyote so tuna ushamba mkubwa bado.
 
Kweli kabisa waafrika siku zote ni wapuuzi kweli, they can't see far!,, wakijazwa wanajaa, ni kama Ile hadithi ya mwl. Jkn ya kichupa.
Ila pia si unajuq wazungu ambao ni 7% wanamiliki 80% ya ardhi yote inayofaa kwa kilimo,
Na unajua historia ilitopelekea hadi hao wazungu kumiliki ardhi yote hiyo huku Waafrika wakawa hawana?
 
Mabadiriko yanahitajika,,SA anatawala alie na akili timamu kinacho endelea tz nikitu cha hovyo sana.
 
Siyo tu mwana ccm, bali wewe ni kati ya wale wanaoitwa condom za chama cha mapinduzi, mnapigania ustawi wa mafisadi huku mkiwa mmechoka taabani
Tumechokaje? Mafisadi gani? Na nyie nyumbu mnapigania ustawi wa kina nani? Napiganiaje CCM?
 
Kuna Mtu timamu kweli atatekwa na akili za kina Heche?
Hapana,bali tunafuata kauli za yule mbunge aliyesema atakaegombea jimboni kwake au atakayesimamishea ndani ya chama atammaliza. ....yule bwana ni mzalendo haungwe mkono na wenye akili,,


Jina lake limenitoka na jimbo lake
 
Ila pia si unajuq wazungu ambao ni 7% wanamiliki 80% ya ardhi yote inayofaa kwa kilimo,
Na unajua historia ilitopelekea hadi hao wazungu kumiliki ardhi yote hiyo huku Waafrika wakawa hawana?
Kwanini chadema ni waongo namna hii, africaaner wanamiliki ardhi kwa 20%,percent only, ya ardhi yote Africa kusini, yenye kufaa kwa kilimo!, "tuache uongo" lakupongezwa wanaitumia kikamilifu kwa shughuli za kilimo cha kisasa!, by any mean these ppls are very riches!
 
Umeulizwa swali kunambunge katoa kauli za kigaidi yupo Ccm na ni naibu waziri mbona ujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…