Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
 
Jaribu kubadili location unapotafutia rizk.
Kama wakaa dsm hamia mbeya utasahau hizo habari za kwapa kunuka na kutoa jasho.
 
Nunua limau kata nusu fanya scrub kila jioni unapoenda kuoga(sugua sehemu ya kwapa)tafuta deodorant zinazozuia jasho

Kunywa maji ya kutosha,tembea na hankchief za cotton zitakusaidia kujikausha unapokua kwenye movement

Ukipata nafasi oga mara mbili kwa siku,ukishindwa badili nguo
 
Njoo nikuuzie Deodorant, uje unishukuru huku ndani.
 
hamna njia ya kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…