Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

MKUU NISIKILIZE MIMI EMBU OGEA MAJI YA UKOKO WA UGARI YAN UKIENDA KUOGA YA CHUKUE KIDOGO KWENYE KOPO KISHA UNAANZA KUOGA MAJI YA KAWAIDA HALAFU UKIMALIZA UNAJIPAKA HAYO MAJI YA UKOKO SEHEM ZENYE HIYO HARUFU KUANZIA MAKWAPAN HADI KWENYE KIFUA MPAKA TUMBON

UJE UNISHUKURU BAADAE
 
Kuna vibinti nimepishana navyo dukani uwiiiiiii lile sio jasho ni kiama...
 
Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
Dawa ya jasho kali ni mazoezi haswa aerobics&cardio(gym) na jogging
 
Heard from friends, never found myself in such a situation hata nikae siku mbili bila kuoga. Mungu ni mwema kwa upande wangu
Sio kweli! Wengi wametumia nimewaona hawapati mafua! Kwanza jiwe halina hata harufu
 
Sio kweli! Wengi wametumia nimewaona hawapati mafua! Kwanza jiwe halina hata harufu
Ila congratulations, seems umexperience mambo mengi in life kwa umri ambao upo nao sasa. Kudos
 
Agea maji ya ukoko wa ugali ndugu, fanya fasta utakosa mke ma marafiki maana harufu inakera sana hiyo kwa aliye karibu yako.

Hao ni fangus walio ndani ya mwili wako.
 
Ila congratulations, seems umexperience mambo mengi in life kwa umri ambao upo nao sasa. Kudos
Kawaida tu!
Kuona matukio mengi na kusoma maandiko kumenipa maarifa mengi
kama jf nimeanza kuichungulia tokea 2017
 
Tafuta jiwe la shabu
Maduka wa waarabu au wapemba watakuelejeza jinsi ya kuitumia
Usipopona niite mbwa
Kumbe una mambo mazito hivi!! Na mimi unitafutie dawa ya kuondoa mvi ili nionekane kijana. Sitaki kuzeeka mimi! 😩
 
Back
Top Bottom