Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

Mkuu Kuna njia ya asili niliyofundiswa na bi mkubwa, kama unapika ugari au unapikiwa wakisha songa ugari yale maji wanayoweka kwenye sufuria iliyosongewa yachuje na kitamba au kawaida kisha ukiwa unaiga baada ya kumaliza kuoga kwa hayo makolokolo yako jifute hakikisha umekauka chukuwa maji ya uliyochuja jimwagie ndani ya wiki mbili utakuja kutoa ushuhuda
Kwa siku moja au kila siku
 
Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
Badili aina ya vyakula na vinywaji.

Kama unakula nguruwe, wacha. Kama unakula vibudu au nyama isiyochinjwa, wacha.
 
nitaitafuta mkuu
images (9) - 2024-06-23T085415.763.jpeg

Jaribu hata hizi, kuna moja inaitwa Dry impact, ukispray zinatoa kama powder hivi. Ni nzuri sana
 
Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
Kama uko mkoani. Kama ulishawahi kukata mtu ukakuta maji ndani ya mtu maji hayo yana langi ya kahawa basi yachukue unawe maeneo ambayo unatoa harufu . pia wale wanawake ambao wakibeba mimba huwa inakaa upande BC Fanya hivi hicho kutanda ambacho unalalia jigeuze yani mwanzo kilikuwa kinaangalia mashariki now kiangalie magharib au kama unapikia mafiga yageuze.pia wale wanapenda kuumwa tumbo unapoamka kabla hujala chochote kunywa maji.pia wale ambao huwa wanaumwa matosi mdomoni chukua kiatu chako kiweke maji unywe au ukiamka asubuhi toka nje Asama mdomo kuelekea jua kinapochomoza pia wale wanaoumwa ngiri chukua makome ya mwarubaini na magome ya mjohoro changanya chemsha kunywa.pia yule akiyeungua moto ukutaka upone alfu kovu kisiwepo chukua kata nywele zako kidogo akfu ziunguze ule unga mweusi paka kwenye kidonda yani utapona halaka akfu kovu halitakuwepo .kuna mambo mengi ni dawa tena ya kawaida siyo lazima kwenda kwa waganga. Je unajua kwamba kuna mtu ambao upo ukichukua jani lake ukaweka chini ya ulimi kama upo na kesi mahakamani mshitaki wako anashindwa kujieleza yani anashindwa kuongea? Ulishaona kichaa akichezea mti na akachuma majani? BC Yale majani ni yachukue ni dawa
 
Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
Kaoge mto YORODANI
 
Back
Top Bottom