Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

Wakuu,

Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.

Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.

vitu ninavoogea
1. Deto ya maji
2. Sabuni ya mikono
3. Medicated soap

Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako sensitive nikiogea hiyo watu wanaona atleast ila nikikutana na mtu ambae yupo sensitive lazima akimbie. Nguo nikivaa mara moja niinuse huwa naanguka kwa kizungu zungu.

Sasa kuna sehemu tunapiga story kuna demu ana nuka kikwapa.Wana wakasema kuna dawa za mitishamba ukiogea tatizo linaisha kweli!! Je kuna hiyo kitu?

Kama ujuavyo Watanzania hawanaga deep info
Tumia deodorant na perfume za mafta
 
Back
Top Bottom