Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Habarini za jioni wana jamii wenzangu, ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi Wa kweli, Mimi ni mwanamke mrembo lakini Nina jinsia mbili ya like Na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.nipo serious . asanteni
Wewe wataka unayemtaka awe Na ipi..? Na aitumie ipi koz isije ikawa at last Yale mambo ya "IF YOU DO ME? I DO YOU" nami nipo Arusha but we need a real talk sipo radhi kufanyiwa mambo ya kishenzi?
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu, ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi Wa kweli, Mimi ni mwanamke mrembo lakini Nina jinsia mbili ya like Na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.nipo serious . asanteni

Mh ww si unaweza kumgeza mwanaume
 
haaaaa kweliiiiiiiiiii hembu tuonyeshe tuzione hasa hiyo ya kiume maana mhhh
 
Sio kweli hauna hiyo kitu.

Kimaumbile unapokuwa umezaliwa hivyo unakuwa msiri sana na unamuambia mpenz wako yule anaekupenda na kukujali huku ukitetemeka na hofu ya hali ya juu ukiwa unampa ukweli.

Shemale hawapo hivyo hawana tupu za mbele zote mbili..ila wapo na maumbile ya kike kama vile maziwa, sauti na hormon za kike lakini anakuwa na penis tu upande wa mbele.

Umesema zote 2 zinafanya kazi sio kweli coz Kuna wanawake ambao wanayo ya kiume kwa juu ila ni kijidogo sana kama ya mtoto mdogo ila haifanyi kazi.

Kuna maswali ya wadau hapo juu unayakimbia huja jibu kwa sababu haupo hivyo na huwajui vizuri hao watu ila umeitunga tu story..

hata ukiingia nae ndani kabla hujafanya chochote kwake anakuambia ukweli..una kifua?? Utanitunzia siri?

Babuu usibishe Mungu ni mkubwa..
 
People mmeanza kuchanganya kati ya Hermaphrodite na Shemale,

Hermaphrodite ni mtu ambae ANAZALIWA na jinsia zote mbili ambazo zinaweza zote kufanya kazi au moja.

Shemale ni MWANAUME ambae amefanya upasuaji na kuwekewa matiti, makalio, nywele, sauti, n.k VYA KIKE ila 'dushe' linabaki vile vile so anaweza kugegedwa na midume au kumgegeda mwanamke.

So huyo dada sio SHEMALE ni HERMAPHRODITE.
Acha kudanganya watu. Shemale ni kama msimu kwani sio man made. Wanazaliwa hivo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom