Kiume3000
Senior Member
- May 17, 2021
- 180
- 218
Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia..
Barabarani Kuna kugonga na kugongwa(magari) hapa Kuna shida Kubwa. Binafsi yangu naweza .nikasamehe and then nakwenda kunyoosha mwenyewe.. sijawahi kuazima gari najua nikikosea ikapata ajali gharama itakuwa kubwa na ni ya kwangu na kwa kweli sipendi na sithubutu..
Kwa mfano pia, huwa naogopa sana kutembea na mali za watu....hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee naye lkn nahofu sana fumanizi..the same naogopa sana cha mtu