Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,718
- 3,295
Jinsia less anapendwa na waume na wake za watuMkuu kwani wewe jinsia gani?
Jinsia less anapendwa na waume na wake za watuMkuu kwani wewe jinsia gani?
Mkuu uchizi unakunyemelea,,fanya mpango haraka umuone daktari wa afya ya akiliNi kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia..
Barabara Kuna kugonga na kugongwa hapa Kuna shida Kubwa..nasanehe and then nakwenda kunyoosha mwenyewe.. sijawahi kuazima gari najua nikikosea Gharama itakuwa kwangu na kubwa sithubutu..
Naohopa sana kutembeyna malinza watu....hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee Naye lkn nahofu sana fumanizi..the same naohopa sana cha mtu
Ohooo! Tazama sasa!Hivi Kamishina wa Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( Bangi ikiwemo ) Tanzania kwa sasa anaitwa nani? Ana Kazi nzito, kubwa na ngumu sana kwakweli.
Huyo katoroka milembeHivi Kamishina wa Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( Bangi ikiwemo ) Tanzania kwa sasa anaitwa nani? Ana Kazi nzito, kubwa na ngumu sana kwakweli.
Wewe unapendwa na mke na mume wa mtu? Na wote unaweza kuwaridhisha? Wa jinsia gani wewe?Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia..
Barabara Kuna kugonga na kugongwa hapa Kuna shida Kubwa..nasanehe and then nakwenda kunyoosha mwenyewe.. sijawahi kuazima gari najua nikikosea Gharama itakuwa kwangu na kubwa sithubutu..
Naohopa sana kutembeyna malinza watu....hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee Naye lkn nahofu sana fumanizi..the same naohopa sana cha mtu
GENTAMYCINE Mzee unataka nitiwe nguvuni??Hivi Kamishina wa Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( Bangi ikiwemo ) Tanzania kwa sasa anaitwa nani? Ana Kazi nzito, kubwa na ngumu sana kwakweli.
inaeweza kua chakula hiiNimejiuliza sana hili swali,maana hapa naona anaweza kutembea na jinsia zote.
unatoa huduma?Ngumu ku ji identify jamani
Hata Mimi naona hivyo.inaeweza kua chakula hii