Thank you so much..haya uliyosema ni maneno matakatifu sana..Asante sana MkuuAny healing begins with acceptance.
You have to accept that you are only human and whatever mistakes you make are natural and you are not the first to commit them.
Pia uwe unajiamini kuwa unaweza kufanya jambo kwa usahihi na kukosea ni sehemu ya maisha ya mwaadam huwezi kuwa sawa muda wote.Thank you so much..haya uliyosema ni maneno matakatifu sana..Asante sana Mkuu
Welcome and a blessed night to you.Thank you so much..haya uliyosema ni maneno matakatifu sana..Asante sana Mkuu
Wewe unatabia kama zangu...Kumbe sipo peke yangu... Huwa ninajutia sana nikikosea hata vtu vdogo vidogo huwa vinanitesa sana mfano niliwahi kuunguza ndoo flan iliyokua imeunganishwa na heater kwaajili ya kuchemshia maji kwa shangazi yangu nilipoenda kumtembelea alinisamehe lakin had likizo inaisha nilijiona n mwenye hatia Sana na sikuwa na furaha tena had muda wa likizo ukaisha nilijihisi tayar nmeshakua kero japokua yeye aliona n kitu kdogo sana
Hivi Kamishina wa Udhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( Bangi ikiwemo ) Tanzania kwa sasa anaitwa nani? Ana Kazi nzito, kubwa na ngumu sana kwakweli.Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia..
Barabara Kuna kugonga na kugongwa hapa Kuna shida Kubwa..nasanehe and then nakwenda kunyoosha mwenyewe.. sijawahi kuazima gari najua nikikosea Gharama itakuwa kwangu na kubwa sithubutu..
Naohopa sana kutembeyna malinza watu....hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee Naye lkn nahofu sana fumanizi..the same naohopa sana cha mtu
JINSIA YAKO TAFADHALIwatu....hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee Naye lkn nahofu sana fumanizi
Nimejiuliza sana hili swali,maana hapa naona anaweza kutembea na jinsia zote.JINSIA YAKO TAFADHALI
πππJINSIA YAKO TAFADHALI
hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee Naye lkn nahofu sana fumanizi..the same naohopa sana cha mtu
Hapa hata mimi nimepasoma mara kadhaa nikashindwa kuelewa.JINSIA YAKO TAFADHALI
"Hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee naye lkn nahofu sana fumanizi".....Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia..
Barabara Kuna kugonga na kugongwa hapa Kuna shida Kubwa..nasanehe and then nakwenda kunyoosha mwenyewe.. sijawahi kuazima gari najua nikikosea Gharama itakuwa kwangu na kubwa sithubutu..
Naohopa sana kutembeyna malinza watu....hata mke au mume wa mtu akinipenda natamani nitembee Naye lkn nahofu sana fumanizi..the same naohopa sana cha mtu
Any healing begins with acceptance.