Nina kawaida ya kutumia sana peke yangu

Mkuu uchizi unakunyemelea,,fanya mpango haraka umuone daktari wa afya ya akili
 
Wewe unapendwa na mke na mume wa mtu? Na wote unaweza kuwaridhisha? Wa jinsia gani wewe?
 
Hukosekani katika mojawapo

1.Unajichua (nadhani nimeeleweka)
2.M'binafsi
3.Unakabiliwa na madeni mengi
4.Una stress/frustration

Hata hivyo zote zaweza mezwa na namba moja
 
Hukosekani katika mojawapo

1.Unajichua (nadhani nimeeleweka)
2.M'binafsi
3.Unakabiliwa na madeni mengi
4.Una stress/frustration

Hata hivyo zote zaweza mezwa na namba moja
How. Yaan hiyo namba moja ifafanue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…