Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Mkuu nakubaliana na ww maana kwa sasa nasubiri pesa ya kudownload wakat kipind hcho pesa ilikuwa ni ya kukinga tu mkono.Hapo uliposwitch ndio uliharibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakubaliana na ww maana kwa sasa nasubiri pesa ya kudownload wakat kipind hcho pesa ilikuwa ni ya kukinga tu mkono.Hapo uliposwitch ndio uliharibu.
😂😂😂Mkuu unaenda kupigwa. Usimfuate pm
Jamaa yupi uyo mkuuMkuu Dogoli kinyamkela jamaa mtengenezee masuala yamuendee vizuri
Mleta uziJamaa yupi uyo mkuu
Ndio maana akaja kuomba ushauri kwanza.Sasa kama pango ni laki tatu alafu mtu anataka kodi ya mwaka na inabidi ufanye refurbishment ya mamilioni ya pesa itatosha vipi ?
Lakini kama unaweka mwanvuli na viti vya plastic, kabati la aluminium na jiko la mkaa kwanini isitoshe na kubaki ?
Haya mambo mengine huenda hata pesa sio kigezo unaweza ukawa na laki nne tu unaanza kwa kukodi vitu na kununua viazi mali kauli sokoni na ukapata faida kuliko aliyeweka mamilioni na mzigo unalala daily...
🤣🤣🤣🤣 Akiitaji mkuuMleta uzi
Kwani nilichoandika hapo ni nini kama sio jibu la Ushauri ?Ndio maana akaja kuomba ushauri kwanza.
Mkuuu mimi nimefunga location imeniua, nina vyombo najipanga upyaLakini hii biashara ili utoboe unahitaji uwe na mtaji mm baada ya kufanya mda kidg mtu akanipa connection mbele ya night club asee na kuna mwamba akanipa connecfion ya kuku kutoka malinyi nkamtafta mama malinyi akawa ananipakia kwenye gari ya master j kipind hicho napokelea town asee kwenye kuku ndio nilipiga hela nkawa nachoma chips kuku kuanzia saa tatu usiku mpka saa tisa alfajir naamsha zangu sema nilifanya ndan ya miez 3 tu nkaswitch kweny mchong mwingine
Inatosha na chenji kubali, Labda pamoja na vifaa,sahani,jiko,karai,Bado inatoshaNina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake