Kwenye madhara hapo mbona umesahau kitu cha muhimu zaidi
Afya ya akili - ubongo kushuka uwezo wa kutunza kumbukumbu
Hii michezo imeharibu maisha ya vijana wengi mno, kijana anapata kazi nzuri na pesa anatembelea gari kali, anaishi pazuri, anavaa vizuri lakini jogoo hapandi mtungi, kimoja chali, n.k.
Ninakushauri uache kwa miezi kama miwili misuli ipate nafuu ya kujirudi, tafuta mwanamke, inchi 5.x si haba, kuna watu wana 4 na wanapiga game freshi tu, acha kuangalia porno utakuwa mtumwa wa kujifananisha na waigizaji utajiona mdhaifu.
Usije ukapata mawazo ya kumeza dawa za kurefusha uume, pampu, n.k. unaweza kupoteza mtambo wako moja kwa moja.