Nina kumbukumbu mbaya ya wanaopenda kulawiti

Nina kumbukumbu mbaya ya wanaopenda kulawiti

Hizi hali kwa sasa ni mtihani, wazazi tuwe zaidi ya makini na watoto wetu. Nina jamaa yangu mlezi wa watoto ktk shule moja wiki iliyoisha kaletewa mashtaka mwanafunz kamlawiti mwenzake katika kuwabana wahusika wanakuja kugundua kua wanafunzi wanaolawitiana ni zaidi ya kumi.
Mzazi anaitwa shule aelezwe kuhusu mwanae mzazi anakataa kabisa walezi wanawasingizia watoto wao ikiwa watoto ktk kueleza wamejifunzia mambo hayo wapi wanasema ni majumbani mwao na wanataja hata watoto wa majirani zao walioanza nao ktk umri mdogo
Nilipochoka zaidi kuna watoto mtu na mdogo wake na mdogo akiwa ni wa darasa la pili nae ameuzoea huu mchezo
Ushauri wangu wazazi tuwe zaidi ya makinj na watoto wetu, tuwalinde na kuwafundisha kumjua Mungu na kuwajuza Mungu anataka sisi watu tuwe vipi. Yani wajue kua na hofu ya Mungu ktk udogo kabisa na kuwakataza vitu visivyokua na faida sana kwao, tuwalinde na kua karibu nao
Haya mambo ya sasa mzazi unakaa na kujisifu mwanangu anajua wimbo wote wa diamond hadi wanavocheza na kuvaa hayana afya kwa watoto huko mbeleni, movie tunazowaachia watizame wenyewe hazitowajenga
Pia hiz boarding jaman, wazazi ebua tuache swala la kwenda kumwachia patron/ matron mmoja awaangalie watoto 100+ kisa tu upo busy kutafuta.
Mzazi mtoto wako mmoja unamshindwa je huyu patron au matron anaelipwa laki tano atawafwatilia vyema kweli watoto 100+ kwa ukaribu.
Mzazi boarding mtoto wa miake sita ya kazi gan jaman, ebu tuwe na uchungu
 
Ushoga unao tokana na ulawiti kwa watoto wa kiume hasa pindi wawapo wadogo, ni % chache mnooo, ifike mahali tuseme ukweli,

Ushoga unasababishwa na factors nyingi mnoo, hilo la ulawiti ni kiasi tyuuh, sidhan km mtoto amelawitiwa mara 1 utotoni ndo iwe ticket ya yeye kuwa shoga ni big noo, hii trend mnaikuza jamii ndo maana kila shoga lazima asingizie alilawitiwa utotoni khaaah.

Wapo watoto walio lelewa kwa maadili na malezi bora, na wazazi wao walihakikisha wanaziba mianya ya tabia mbovu na matendo hatarishi lakini leo hii ni Shoga tena wabobevu, wapo watoto waliokulia ktk misingi ya imani kulingana na dhehebu lake lakini leo hii ni mashoga, wapo ambao hata ndugu enyewe hajawahi kukutana nao pindi cha utoto wao ila leo ni mashoga.

Sitetei ulawiti hata kidogo, ila sio ndo sababu kuu ya mtu kua shoga, mtu kua shoga anaweza km yeye akiamua tyuuh. Hata alelewe vipi km malaika wema.

Msije kuanza kuchukiana na kutengana ndugu, au kutokaribishana makwenu au kuto tembeleana eti kisa kuzuia watoto wenu wasilawitiwe na kua mashoga lol, sometimes hao watoto wenyewe wanakua na vilanga vya kutaka kuingiliwa, mtasema ni watoto inawezekanaje, lakini ni hivyo baadhi yao watoto husika wanalazimisha kuingiliwa..

Tafakari na uchukue hatua.
 
Pole kwa uliyopitia.
Kwa maelezo yako inaonesha kama vile ulikuwa na mwili teketeke enzi hizo za utoto, jambo lililosababisha wakuda wakutamani mara nyingi.

Hili ni fundisho kwa wazazi haswa wenye watoto handsome na mabonge kuweka ulinzi wa ziada kwa hawa madogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu nyie khaaaah.
 
Maisha bwana 😟 kuna watu wapo kwa ajili ya kulawiti watoto, kuna watu wapo kwa ajili ya kuchezea wanawake, kuna watu wapo kwa ajili ya kutembea na wake za watu na kuna watu wapo kwa ajili ya kuviaribu tuvijana tudogo 😫😫😫 yaani hapa duniani ushenzi mwingi sana.
Pole mkuu kwa kulawitiwa
 
Jambo silipendi hili sijui kwa nn yaani itokee ndugu amlawiti mwanangu ***** nammaliza akinipoka hata laki asiporudisha undugu unakufa ndo aje kumlawiti mwanangu naona ntapewa kesi ya mauaji
 
Haya mambo yana wakuta sana watoto wa kiume wakati ya ukuaji wao.
Nilicho jifunza ni ili kuepuka haya
Hakikisha watoto wako wana cheza na watoto wenzao wenye rika sawa na ambao hawana tabia chafu
Pili hakikisha wakiwa wanacheza mzazi au mlezi uwe maeneo hayo.
Usiruhusu wakacheze kwa jirani
 
Uliliwa 0712 au ulikua unawala 0712?

Au sijasoma vizuri Uzi!!
 
Back
Top Bottom