Ushoga unao tokana na ulawiti kwa watoto wa kiume hasa pindi wawapo wadogo, ni % chache mnooo, ifike mahali tuseme ukweli,
Ushoga unasababishwa na factors nyingi mnoo, hilo la ulawiti ni kiasi tyuuh, sidhan km mtoto amelawitiwa mara 1 utotoni ndo iwe ticket ya yeye kuwa shoga ni big noo, hii trend mnaikuza jamii ndo maana kila shoga lazima asingizie alilawitiwa utotoni khaaah.
Wapo watoto walio lelewa kwa maadili na malezi bora, na wazazi wao walihakikisha wanaziba mianya ya tabia mbovu na matendo hatarishi lakini leo hii ni Shoga tena wabobevu, wapo watoto waliokulia ktk misingi ya imani kulingana na dhehebu lake lakini leo hii ni mashoga, wapo ambao hata ndugu enyewe hajawahi kukutana nao pindi cha utoto wao ila leo ni mashoga.
Sitetei ulawiti hata kidogo, ila sio ndo sababu kuu ya mtu kua shoga, mtu kua shoga anaweza km yeye akiamua tyuuh. Hata alelewe vipi km malaika wema.
Msije kuanza kuchukiana na kutengana ndugu, au kutokaribishana makwenu au kuto tembeleana eti kisa kuzuia watoto wenu wasilawitiwe na kua mashoga lol, sometimes hao watoto wenyewe wanakua na vilanga vya kutaka kuingiliwa, mtasema ni watoto inawezekanaje, lakini ni hivyo baadhi yao watoto husika wanalazimisha kuingiliwa..
Tafakari na uchukue hatua.