Nina kumbukumbu mbaya ya wanaopenda kulawiti

Kwa mfano wako, inaonesha ni jinsi gani baadhi ya watu wanaangukia huko. Michezo ya kitoto ambayo hata huwezi kujua inasababishwa na nini.
 
Hiyo miaka 25 ni karibu. Tangu mwanzo wa maisha ya binadamu, haya mambo yapo. Tuzidi kuwa makini.
 
Ulikulia Mkoa gani?
 
Dah we Jamaa umenifanya nicheke kwa sauti
 
Aisee [emoji22]
Pole sana sana uwiii Sabhanahu Wataala!
 
"Kaja mpaka home analia, bado zamu yangu"
Kisha, mkapigwa kama ngoma, na iliwasaidia sana kuacha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…