Ukiwa kiongoziunakuwa public property.Dress code inawahusu Nini mmezidi utumwa ebu tazama brain na sio mwonekano wa Mtu
Una uelewa wowote wa maana ya property?Ukiwa kiongoziunakuwa public property.
From what perspective?Una uelewa wowote wa maana ya property?
Nyie bado mpo utumwani I tell them buda Mnabidi kukombolewa trust me.Ukiwa kiongoziunakuwa public property.
Sasa mtu anakupa advise unamtukana, hivi ninyi lini mtastaarabika? Ndiyo sababu hamuaminikiDress code inawahusu Nini mmezidi utumwa ebu tazama brain na sio mwonekano wa Mtu
Hapo tusi ni lipi? Liainishe. Halafu, usitegemee kila umuelezalo mtu lazima akubali tu.Sasa mtu anakupa advise unamtukana, hivi ninyi lini mtastaarabika? Ndiyo sababu hamuaminiki
Aise, haya endeleeni..Hapo tusi ni lipi?Liainishe.Halafu,usitegemee kila umuelezalo mtu lazima akubali tu.
Eleza kwa kuainisha tusi.Yawezekana unatuzidi misamiati au imefika mipya tujifunze.Bila hivyo,weye ni mlalamishi unaedekadeka tu.Aise, haya endeleeni..
Kwahiyo unamdiss bro ana kitumbo dress code hazikai au😂🤣🤣🤣Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma.Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL,
- Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo wa mambo ya ndani na ni hoja ipi inaweza kupeleka Chama chake mbele. Kwa Tanzania bado rushwa ni kubwa na kutokuwajibika kwa viongozi.Shida ni kuwa utaweza kupata ushahidi madhubuti wa kutetea hoja hiyo?Atakapotebelea mikoa athibitishe atakachotanguliziwa na wenyeji wake ili asije akaingizwa chaka.
- TL kwa sasa ni kiongozi wa Chama cha siasa. Ni wajibu wake binafsi na taasisi anayoiongoza kuweza kuangalia dressing code yake. Inaelekea ana shida ya uzito uliopitiliza, designer wake amsaidie nguo gani zitamfaa katika muonekano wake wa sasa.
- Siasa chafu hazijahama na zitamuandama popote alipo. Ni kwa kiasi gani atapambana nazo? Anaweza ku diffuse hili la mfarakano na mkewe kabla yalijavaliwa njuga na wapinzani wake wa kisiasa?
Kwa kweli ningependa avae apendeze haswa, apunguze uzito akiweza na azungumze kwa kituo na kwa ushahidi. Sipendi mtu wa caliber yake akajadiliwa katika ambo madogo kama hayo ya uvaaji.Kwahiyo unamdiss bro ana kitumbo dress code hazikai au😂🤣🤣🤣
Brain ya tutashitakiwa MIGADress code inawahusu Nini mmezidi utumwa ebu tazama brain na sio mwonekano wa Mtu