Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Lugha ya kidiplomasia hiyo ili wasikio wasihisi kwamba ye "dikteta". Au unataka awe anafoka?. Usisahau ile ya "ukinizingua tutazinguana"?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kufanya uchaguzi tena ni gharama mkuu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hiki ni kitendawili
 
Ukiona hivyo ujue watanzania wanataka Katiba Mpya itakayowashape viongozi na siyo viongozi kuishape katiba.Ndio maana kila ajaye huonekana hatoshi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mwendazake alikuwa hajali kelele?. Nadhani huyu wa sasa ndio hajali. Ukimsema kwamba anasafisafiri hovyo ndio kwanza kesho yake yupo Rwanda huko.Ukilalamikia tozo anakwambia "tozo ziendelee". Yule alikuwa analalamikia hadi katuni za akina Masudi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati nailaumu sana Corona kushindwa kuwapangusa hawa wajinga hapo angetembea na miskafu ya bendera
 
Tuonyeshe jinsi nafsi yako ingefaa yafanyike yaliyo Bora tufahamu lakini hii kama haina ukweli siri unafahamu mengi tuongoze tuelewe
 
Kikundi hicho ni sisi wananchi ambao kiongozi wetu ni Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Una jengine?
Umewahi kumwambia hitaji lako na akakusikiliza? Au wasaidizi wake wanaropoka na yeye hasemi kitu na kushindilia tu wananchi wamekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…