Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Kuna watu fulani wakifa wote na vizazi vyao ndio nchi mpaka chama ccm kitakuwa salama.

Ila to late maana watoto zao wameshakuwa na wajukuu.

Umeshawahi kusikia miaka ya nyuma japo ni siri sana “mtoto wa jamhuri”

Hawa kwa sasa wanawatoto ila babu zao bado wapo na kwani wanachelewa kufa
Wanajiita CCM asili. Waliwahi kusema marehemu mshamba.
 
Life jacket ya kumfaa mama ama xx large au xxx large. Watendaji wamekosea sana kumvisha jaketi size medium. Watendaji wa wajibishwe.
JamiiForums-1109950792.jpg
 
Endelea kuota! Number moja anamuhitaji sana CDF zaidi ya mtu yoyote kweny Nchi hii! CDF ana miaka 64 na utashangaa atapiga hadi 66 huko!

Kipindi Magu amekata moto, wahafidhina, walikua washapanga kabisa,kwenda mwambia Bi mdashi ajiuzuru u Makamu wa Rais, kwamba Magu akizinduka anampiga chini, Maza alikomaa baada yakupewa taarifa na CDF! Na ndiyo CDF alikomaa Maza apewe Nchi, bila CDF Rais wa sasa hivi angekua kidoti yule kiongozi wa ile ofisi iliyopo Dodoma, yenye majukumu yakutunga sheria!
duh!!
 
Kaka, nimeshangaa sana mambo ya huyu mama. Yaani kabisa ameacha ofisi na kwenda kuamua 'kuigiza movie' badala ya kushughulika na serious matters. Wapo watu wanatetea hii kitu kwamba hata Kagame 2018 aliigiza filamu ya Royal Tour. Kwangu mimi this doesn't make sense at all. Yapo mambo mengi na ya msingi sana yanahitaji uamuzi wa Rais na siyo huu utumbo unaofanyika sasa
Possibly tumeanza kumkumbuka Magu
 
Kufanya uchaguzi tena ni gharama mkuu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Nchii hii unajua ina pesa kiasi gani? Au unadanganyika na maneno ya wanasiasa? Eti alivyoapishwa anajisemesha eti hakukuta pesa ilienda wapi? Siasa ni mchezo mchafu.kuelewa ni ngumu.
Endelea kuitizama hii drama mwisho wake kuna visiki lazima viondolewe watimize malengo yao.
 
Nchii hii unajua ina pesa kiasi gani? Au unadanganyika na maneno ya wanasiasa? Eti alivyoapishwa anajisemesha eti hakukuta pesa ilienda wapi? Siasa ni mchezo mchafu.kuelewa ni ngumu.
Endelea kuitizama hii drama mwisho wake kuna visiki lazima viondolewe watimize malengo yao.
Duh!.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Timu ipi?

Alipoingia ikulu alitimua timu yote ya pale ikulu akaweka ya kwake!

Na mlishangilia kweli humu mkisema sukuma gang out.

Sasa hivi vilio vyenu havitawasaidia chochote
Bora mama mara milioni kuliko sukuma gengi. Aaaah ninapumua aisee
 
Mabeyo yeye siyo gang?

Na bado mpaka maji muite mma
mkuu kwa heshima ya jpm naomba uwaache hawa kuku peke yao humu,somo wamelielewa hata mwaka bado[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom