Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hamna chochote!Kuna vingi hujui na inahitajika muda mwingi kukuelewesha
Huyu Samia si ndio mliekuwa mnamshangilia juzi tu hapa?
Alipoingia alibadiri timu yote ya wasaidizi wake pale ikulu na mkashangilia sana kwamba afadhali ameondoa masalia ya Jpm huku yeye mwenyewe Samia akiwa salia la JPM.
Si ni huyu ambae hadi katibu mkuu kiongozi ambae ndio maratibu wa mambo yote pale ikulu alimuweka wa kwake?
Wakati ule mnamtukana Magu kwamba anaenda kufungua hadi stend kazi ya mkuu wa wilaya, ila kwa huyu Samia mnasema kuna kundi linampangia ili kumhujumu?
Sikia mkuu,
Siasa za JK, Magu na sasa Samia zimenifunza mambo mengi sana juu ya watz kwahiyo hakuna mbwa yeyote wa kunishawishi kwa chochote,
Mtawadanganya wajinga tu.