Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amezidiwa nguvu na dhamiri yake ni safi basi aachie ngazi. Short of that, she has conceded and she is part of the whole shit. Wala haina haja ya kuendelea kumpamba kwa lugha laini. Kwa mwendo huu na yeye anakuwa mchafu tuInategemea na mazingira aliyonayo
Bora mama mara milioni kuliko sukuma gengi. Aaaah ninapumua aisee
Cha kustaajabisha wanawake ndiyo wanaongoza kwa kumchukia mama mwenzao. Kweli wanawake hampendani
Kaka sio rahisi kama unavyodhani.. I think she's 'under siege' uwepo wake hapo juu ni faida kwa wengine wanaojipanga kwa ya baadaeKama amezidiwa nguvu na dhamiri yake ni safi basi aachie ngazi. Short of that, she has conceded and she is part of the whole shit. Wala haina haja ya kuendelea kumpamba kwa lugha laini. Kwa mwendo huu na yeye anakuwa mchafu tu
If this is it, she's an accomplice to the evil plan. There's no way she can be exonerated therefrom. I'll be a last fool to believe that she's 'under siege'.Kaka sio rahisi kama unavyodhani.. I think she's 'under siege' uwepo wake hapo juu ni faida kwa wengine wanaojipanga kwa ya baadae
Let's wait and see how she'll farther mislead and derail usHebu tuupe muda wakati... It can be anything! OR 'else'!
Truth %Mkuu, tusilaumu watu.
Mama yetu sio mfuatiliaji, ni mtu anayepokea ushauri bila kuutafakari.
Ni mtu wa safari, mikutano na matamasha.
Hajui nchi iende wapi, mipango ya kuifanya Tanzania iwe ya viwanda (Malengo ya Magu) haipewi kipaumbele tena, demokrasia (iliyoonekana kuwa leadership style yake) anaiongea mdomoni tu.
Kwa ufupi mama hakujiandaa kuwa Rais, hata baada ya kuwa bado hawazi na kutenda kama Rais. Katika hali kama hiyo ni wazi kuwa kuna watu bila kutaka ndo wanaongoza nchi.
Kwa ufupi nchi inaongozwa na washauri.
Hitaji la Katiba Mpya mwangwi wake unazidi kusikika kuliko wakati mwingine wowote.
Kwa nje tu hivi ni kama kila kitu kinaenda sawa lakini kuna hali fulani ya taharuki ya kimya na sintofahamu kubwa ndani yake.
Ni kama kuna mambo yanapangwa huko halafu yanaletwa upenuni bila hata kueleweshwa vema
Kiongozi mkuu ni kama kawekewa mipaka mingi na kutengwa na hadhira.
Anahangaishwa huko na huko na kuwekwa busy kwa mambo ambayo yalistahili kufanywa na wasaidizi wake.
Kuna hofu fulani miongoni mwetu. Kuna uoga umewashika watu ni kama vile kuna jinamizi kubwa lisiloonekana linatuchungulia na kutufuatilia na kutusikiliza
Si kama nchi iko kwenye auto mode la hasha. Bali kuna kikundi cha wachache ndani ya mfumo pengine ndio kimeyateka mamlaka!
Watu hawasikiki lakini wapo
Watu hawaonekani lakini vitendo vyao unaviona!
Tunanyukwa kimyakimya!
Hii hali haina afya kwa taifa na haipaswi kuendelea kwa muda mrefu. Hawa wanaozungukana huko ndani hawana nia njema na taifa hili. Sinema si kwamba zimeisha bali zinaandaliwa zingine kutuweka busy tena tuyasahau haya!
Kama hizi hisia zangu ni kinyume na uhalisia basi napaswa kuonana na tabibu haraka! Ila kama si kinyume. MUNGU TUSAIDIE
Ndio binadamu tulivyo au unasemaje papaayengaBila shaka kipindi hichi ramli nyingi zitapigwa juu raisi huyu inachekesha sana wakati wa Magu alikua hataki kabisa kusikia mtu anafungua mdomo wake juu ya katiba midomo yote ilipigwa zipu
Huyu mama kasikia kilio cha katiba na ameahidi kulipa nafasi muaafaka ktk shughuli zake bado analaumiwa ama kweli fadhila ya punda ni mateke
Mh! huo mkono wa timu JK Umeshika nini?
Hizo sifa zako za kumsifia mama mapema ndio zinazokufanya uweweseke sasa hivi.
Na siyo pekeako mko wengi sana.!
Na hakuna cha uelewa mpana wala nini. Sema tu kwamba ni ushabiki tu wa siasa za hapa na pale.
Lisu wenu aliwatahadhalisha toka mwanzo kwamba ni mapema mno kumsifia mama.
Lema juzi aliwaambia live kuwa kuna kundi la watu wapumbavu wanajaribu kumtenganisha Samia na makosa ya kwenye utawala wake, kwamba ni hujuma.
Kama amezidiwa nguvu na dhamiri yake ni safi basi aachie ngazi. Short of that, she has conceded and she is part of the whole shit. Wala haina haja ya kuendelea kumpamba kwa lugha laini. Kwa mwendo huu na yeye anakuwa mchafu tu
OkayKazidiwa nguvu katika lipi? kwa kufanya Hiyo Royal Tour ? kima nihilo kweli vichwa vimeoza kufikiri.
Bear in ur mind watu wa zanzibari huwa makini sana na kwa asili ni waelewa zaidi unavyofikiria halafu wanasubira zaidi unavyo fikiria wewe hawakurupuki na katu hawawezi kuendeshwa kama unavyofikiria
Indeed, we need just to pray for our nation and hope for the best. Our nation is bigger than our egoLet's pray for the whole nation.. If ever anything happens..let it pass smoothly !!!