Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Safi kabisa!
Nashauri ziongezwe! Maana tunapumua baada ya kunyanyaswa kwa miaka 5.
Baada ya kutopandishwa mishahara na madaraja sasa tumeoandishiwa. Nashauri kodi iongezwe mara dufu
Taratiib mkuu. Siasa si za kuchangamkiwa kiasi hiki. Relax. Ukitaka tozo ziongezwe unawatakia mabaya wanyonge wasiohusika; wasiokuwa hata na kazi za kupandishwa mshahara.
Hao akina Mshana Jr. ni washehereshaji tu, maMC wa jukwaa, wala hawaathiriki na tozo. Wametajirika kwa kuuza ndumba. Wanashinda hapa JF kuchokoza mada na kuwachagiza muendelee kukanyagana. Marijani Rajab aliwaita wakaanga mbuyu wanaowaachia wengine kazi ya kuzitafuna.