Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Safi kabisa!

Nashauri ziongezwe! Maana tunapumua baada ya kunyanyaswa kwa miaka 5.

Baada ya kutopandishwa mishahara na madaraja sasa tumeoandishiwa. Nashauri kodi iongezwe mara dufu

Taratiib mkuu. Siasa si za kuchangamkiwa kiasi hiki. Relax. Ukitaka tozo ziongezwe unawatakia mabaya wanyonge wasiohusika; wasiokuwa hata na kazi za kupandishwa mshahara.

Hao akina Mshana Jr. ni washehereshaji tu, maMC wa jukwaa, wala hawaathiriki na tozo. Wametajirika kwa kuuza ndumba. Wanashinda hapa JF kuchokoza mada na kuwachagiza muendelee kukanyagana. Marijani Rajab aliwaita wakaanga mbuyu wanaowaachia wengine kazi ya kuzitafuna.
 
Siku zote adui wako ni mtu wa karibu yako. .ule mkono invisible nao kuna siku utaonja mauti ni swala la muda. Mungu wetu sote.nawaza siku ile alikuwa akijisemea moyoni amka sasa tuone kama una uwezo tena dah😒
 
Genge ata kikundi umewapa hsshima
 
Siwezi bishana na wewe,inawezekana Kuna kitu kweli extraordinarily umekiona,but what I can say is,time will tell,because time is not greedy enough to hide the truth.
because time is not greedy enough to hide the truth.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hua najiuliza sana Mbona Hawa vijana kina;

J.Makamba.
Nape
Ridhiwani

Wamekua na furaha sanaa,tena wamekua wachangiaji wazuri wa mada za social media?


Tena wanasifu sana Tozo na awamu hii kama nilivyomskia juzi Ridhiwani.

Lazima hili group ni kubwa na ndo limeshinda kumzibiti SSH.

Lile group liloitwa Sukuma gang wamekaa pembeni na wengine kina POLEPOLE na Gwaji boy wanawekwa sawa Ili wafukuzwe chamani au wanyamazishwe kabisaaaa.

Ndo Mana tunasema nchi ipo Chalinze KWA Sasa na vijana wake,Next Mzee Mangula watampumzisha na kumuweka makamu mwenyekiti watayeweza kumdhibiti na kumuendesha kama walivyoweka shati la Huyu katibu mkuu wao Chongole.
 
Udongo haujashiba bado! nao watakwenda kwa shimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…