Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Pamoja na mapungufu yake, JPM alikuwa ana uwezo wa kumiliki maamuzi yake katika kila jambo. Hili lilimfanya ajiamini na kusimamia mawazo/maamuzi yake hata kama yalipingwa na ulimwengu mzima.

Sasa kwa mama yetu ni kama vile haamini bado kuwa yeye ndie raisi, ni kama vile hajui nguvu aliyokuwa nayo na mbaya zaidi ni wazi kaweka bayana kwa washauri wake kuwa hana dira. Hili linawapa nguvu wasaidizi wake kufanya maamuzi bila kumshirikisha ipaswavyo ama kupindisha uhalisia hasa wa athari ya maamuzi hayo. Hii inamgharimu mama pale athari inapokuwa hasi, inabidi kutoa kauli kutuliza jazba ambapo in reality linafikirisha juu ya alikuwa wapi mambo yakiamuliwa.

Japo kuna baadhi ya watu watapinga kwa vile wamampenda mama, ila ni wazi mama hajui anakokwenda, hana dira na hana kauli katika maamuzi yake.

Mama amekuwa mithili ya mtoto ambae kanunuliwa vitu vya kuchezea na kupangiwa leo utachezea hiki na kesho kile. Ni kwamba anamiliki vitu hivyo lakini hana mamlaka navyo mpaka mzazi aongee.
 
Mama amekuwa mithili ya mtoto ambae kanunuliwa vitu vya kuchezea na kupangiwa leo utachezea hiki na kesho kile. Ni kwamba anamiliki vitu hivyo lakini hana mamlaka navyo mpaka mzazi aongee.[emoji3064][emoji38][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
Hapa ndipo ninapoona hitaji la katiba mpya.. Leo nimeambiwa tozo kwenye mabenki zimeanza rasmi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
Nyerere alitukosea sana.

Kwa kipindi hiki ni ngumu kuipata, watu lazima walinde maslahi yao.

Wafaidika wakubwa wa katiba hii ndo hao tunaotegemea watuletee katiba mpya hali inayopelekea mchakato wake kuwa ngumu
 
ohoooo !!
 
Mkuu nchi iko mikononi mwa kikundi kinachoitwa Axis of Evil na Kiongozi wao ni gaidi Mwigulu Nchemba kwenye kundi hilo yuko Majaliwa, Ndugai, Mpango, Msigwa, Diwani wa TISS, Ndugulile. Hawa watu ni watu hatari sana na sijui nchi itakuwa mikononi mwa hawa kwa kipindi gani.
 
Mkuu umenena kweli tupu, nilikuwa nawaza Sana Nani ndo rais kwasasa sielewi, Samia Hana Kazi yoyote ambayo inaonekana kufanywa na rais wa nchi.

Haongozi chochote, hatoi maelekezo, yupo njiani Kila siku, Mpango ndo sijui kapangwa wapi, WK nae anajitutumua bila maboss wake kusikika.

Kabaki anasikika gwajima tu.

Sijui mabeyo anatusikia?
 
Tywin Lannister:
You're a fool if you believe he's the most powerful man in Westeros.

Tyrion Lannister:
[sarcastically] A treasonous statement! Joffrey is king.

Tywin Lannister:
You really think a crown gives you power?

Je umeelewa nini kwenye majibizano haya???
 
That GANG is gaining grounds!
 
You really think a crown gives you power?[emoji848]
 
That GANG is gaining grounds![emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Tuanzishie uzi wa hii habari uiongezee na nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…