Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mama anafungisha
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwafaaMagu nilikuwa simkubali ila bora anagamalizia usheenz wake hafu ndo afe sio kutuachia nchi katika mvurugano na huyu mama.
That GANG is gaining grounds![emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Bado nakipenda kifanyio changu na kilinge nimeshakigawa[emoji24]
Kaka, nimeshangaa sana mambo ya huyu mama. Yaani kabisa ameacha ofisi na kwenda kuamua 'kuigiza movie' badala ya kushughulika na serious matters. Wapo watu wanatetea hii kitu kwamba hata Kagame 2018 aliigiza filamu ya Royal Tour. Kwangu mimi this doesn't make sense at all. Yapo mambo mengi na ya msingi sana yanahitaji uamuzi wa Rais na siyo huu utumbo unaofanyika sasaAnahangaishwa huko na huko na kuwekwa busy kwa mambo ambayo yalistahili kufanywa na wasaidizi wake.
Chanzo cha wasiwasi wangu ni wasiwasi mkuuNini chanzo cha wasiwasi wako?
Nitahakikisha unakula ban nyingine 😂😂 kidding!Hapa ndipo ninapoona hitaji la katiba mpya.. Leo nimeambiwa tozo kwenye mabenki zimeanza rasmi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
JK na Ritzndani ya kakundi hako kadogo yuko pm mmoja wa zamani aliyejiita mtoto wa Mkulima , haonekani hadharani lakini gizani yumo
Acha tu, in short she's just a puppet, the real masters are behind the scenes..Hitaji la Katiba Mpya mwangwi wake unazidi kusikika kuliko wakati mwingine wowote.
Kwa nje tu hivi ni kama kila kitu kinaenda sawa lakini kuna hali fulani ya taharuki ya kimya na sintofahamu kubwa ndani yake.
Ni kama kuna mambo yanapangwa huko halafu yanaletwa upenuni bila hata kueleweshwa vema
Kiongozi mkuu ni kama kawekewa mipaka mingi na kutengwa na hadhira.
Anahangaishwa huko na huko na kuwekwa busy kwa mambo ambayo yalistahili kufanywa na wasaidizi wake.
Kuna hofu fulani miongoni mwetu. Kuna uoga umewashika watu ni kama vile kuna jinamizi kubwa lisiloonekana linatuchungulia na kutufuatilia na kutusikiliza
Si kama nchi iko kwenye auto mode la hasha. Bali kuna kikundi cha wachache ndani ya mfumo pengine ndio kimeyateka mamlaka!
Watu hawasikiki lakini wapo
Watu hawaonekani lakini vitendo vyao unaviona!
Tunanyukwa kimyakimya!
Hii hali haina afya kwa taifa na haipaswi kuendelea kwa muda mrefu... Hawa wanaozungukana huko ndani hawana nia njema na taifa hili...sinema si kwamba zimeisha bali zinaandaliwa zingine kutuweka busy tena tuyasahau haya...!!!
Kama hizi hisia zangu ni kinyume na uhalisia basi napaswa kuonana na tabibu haraka! Ila kama si kinyume...MUNGU TUSAIDIE
Umesahau utawala wa Mzee Ruksa? Kighoma alikuwaPamoja na mapungufu yake, JPM alikuwa ana uwezo wa kumiliki maamuzi yake katika kila jambo. Hili lilimfanya ajiamini na kusimamia mawazo/maamuzi yake hata kama yalipingwa na ulimwengu mzima.
Sasa kwa mama yetu ni kama vile haamini bado kuwa yeye ndie raisi, ni kama vile hajui nguvu aliyokuwa nayo na mbaya zaidi ni wazi kaweka bayana kwa washauri wake kuwa hana dira. Hili linawapa nguvu wasaidizi wake kufanya maamuzi bila kumshirikisha ipaswavyo ama kupindisha uhalisia hasa wa athari ya maamuzi hayo. Hii inamgharimu mama pale athari inapokuwa hasi, inabidi kutoa kauli kutuliza jazba ambapo in reality linafikirisha juu ya alikuwa wapi mambo yakiamuliwa.
Japo kuna baadhi ya watu watapinga kwa vile wamampenda mama, ila ni wazi mama hajui anakokwenda, hana dira na hana kauli katika maamuzi yake.
Mama amekuwa mithili ya mtoto ambae kanunuliwa vitu vya kuchezea na kupangiwa leo utachezea hiki na kesho kile. Ni kwamba anamiliki vitu hivyo lakini hana mamlaka navyo mpaka mzazi aongee.
Kitu hujui ni bora ukanyamazaMkuu nchi iko mikononi mwa kikundi kinachoitwa Axis of Evil na Kiongozi wao ni gaidi Mwigulu Nchemba kwenye kundi hilo yuko Majaliwa, Ndugai, Mpango, Msigwa, Diwani wa TISS, Ndugulile. Hawa watu ni watu hatari sana na sijui nchi itakuwa mikononi mwa hawa kwa kipindi gani.
The feeling is really terrifying [emoji2827][emoji2827][emoji2827]Everything is in the dirty hands now. Samia if won't be warned as early as possible, she may end up into a hole of shit! President need not to trust anyone except herself. She has to question everything on her table. She started well, when they saw they are losing they pulled her back. They are ahead of her. Mshana what you have said is a glance of ice in a big sea. Let's keep waiting, before sun set, the child will be in town.