Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Dah, yaani acha tu mkuu! Wakati mwingine unatafakariii mwishowe unaamua kunyamaza tu ili maisha yaendelee.

Ili uongoze bila presha nchi hii inabidi usiwe mtu wa kujali.....yaani we fanya yako tu. Mwendazake alifanikiwe sana katika hilo. Ye alikuwa anakanyaga tu; kelele za kutojua kiingereza, sijui hana exposure n.k aliwaachia wenyewe wazungumzaji na alipoamua kuwalipa basi alilipa kwa 'vitendo' tu wakati wa uchaguzi. Nafarijika kuona na mama nae kama anafuata njia hiyo hiyo ya kutokujali.......

โ€ mwanzo ilianza kikwete ndo anaongoza nchi, naona limekufa sasa na mama anaendelea tu na yake!
โ€ likaja eti 'haijui nchi', mama akaendelea na yake na limekufa!
โ€ mara nchi imerudi kwa mafisadi, kwamba kwenda kwake Kenya n.k ni kwenda kusaini mikataba ya kinyonyaji (eti hajui lolote). Mama kimya anaendelea na yake
โ€ Royal tour hamna kitu, kwanza mliona wapi raisi anatangaza utaliii! Mama kimya na ndo kwanza anazidi kutembelea vivutio! Safi kabisa.
โ€ na leo hili, kwamba kuna kikundi kinaongoza nchi 'bila raisi kujua'! Hahahahaaaaa!!!

Wakati tunayaongea, hayo mama analipa vitendo;
1. Tozo (โ€ or +)
2. Sgr
3. Umeme wa rufiji
4. Vituo vya afya n.k.
 
Kuna siku hao CHADEMA hatakuoa maana hata usiku unawaota...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na bado, mpaka maji muyaite MMA!
Uzuri ni kwamba huyo unayemtaria mabaya pengine anakula zake kiyoyozi kwenye gari yake wewe hapo Unapambana na bomba kwenye dala dala, yaani roho ya kimasikini ni shiidaa..
 
Mkuu ulichosema kina ukweli ndani yake, hata yeye anajua haongozi.
Kwa kifupi tumepigwa tena, nchi hii ina bahati mbaya Sana.
Hadi sasa raisi hajatoa vision yoyote,
 
Hilo genge gani?hawazeeki?hawafi?hawaishi?mbona mzee aliyetangulia hamkusema amepotezwa na genge ?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Usipanue uwanja hadi kusiko.

Genge la Chatto halikuwapo enzi za Mkapa hivyo hoja ya kuwa hawazeeki haina kichwa wala miguu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!

Hiiiiii bagosha!
 
Safi kabisa!

Nashauri ziongezwe! Maana tunapumua baada ya kunyanyaswa kwa miaka 5.

Baada ya kutopandishwa mishahara na madaraja sasa tumeoandishiwa. Nashauri kodi iongezwe mara dufu
Namimi nashauri kodi ziongezwe maaana tuliteseka sana ile miaka mi 5[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Nenda haraka Mwamba Miamba kachungulie kwenye ile TV ambayo inasema uongo 100% ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ . Tunaanza kuchakata tangawizi ili tupige chafya vizuri
 

Mwenyezi Mungu tunayemuabudu ni kijana na hazeeki. Tusifanye makosa ya kuona mambo kama vile yote tutamaliza leo
 
Magu alianzisha viwanda vingapi? au unaleta porojo tu.
 
Unamwacha wapi SIRO?
 
Reactions: BAK
This is not right..sio kwa manguo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ