Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Tuamke kichwani na moyoni yapo na yanakuja tujipange kiakili na kimwili pia. Tanzania mpya is coming soon ❣️
 
Humu humu ndani walikua wanasema mwenda zake mbaya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yeyu yeyiiiiiii kuleni tozo na sahii Tozo hadi bank hakuna kwa kukimbiliaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka tu maneno machache ya mwenda zake aliposema NCHI HII NI TAJIRI SANA LAKINI SERIKALI ILIKUA INASHINDWA KUKOMAA KUDAI KODI KWENYE MADINI TUNAPOTZA ZAIDI YA TRILLION 300 PESA YA KUENDESHE NCHI MIAKA 10 BILA MKoPO TUNAKOMAA KWATOZA KODI WANANCHI HAWA MASIKINI YAWEZEKANA PESA ZETU NDIO WANAZITUMIA KUFANYA MAENDELEO HUKO KWAO TUNAONA KUZURI KUNA FAA VILE Rest In Paradise my all time nest president ever seen in world history I love you......kwa bahati mbaya umetuachia mtu sio mfatiliaji anazunguka kama vile yeye ndio waziri wa utaliii sasa kama akifanya haya yoote mwenyewe kuna umuhimu gani wa kua na mawaziri[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji706]
Acheni huu UPUMBAVU jiwez alikaa madarakani Miaka 6 ukiacha kuua watu nakufilisi watu aliweza nini...jiwe na huyo mamaenu wote hawana la maana zaidi yakuumiza watu tu

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
[mention]Mshana Jr [/mention] mama hana timu bado kwan hakutegemea io nafasi hivo anawapambe ambao nafikiri ndio una ujumbe wao

Mama bado anaona yupo kwenye ile nafas ya namba mbili ndio mana kutwa safari, hafla na mengine

Jitihada kubwa zinahitajika mama kua na timu kubwa ya kizalendo
Uwezo huo hana tena, the gang imembadilishia namba za simu. Watu anaowasiliana nao wote wana control kutoka kwa gang.
 
Kama ikiwa hivyo kikundi kilichopo ni salama kwetu kuliko kile kilichotolewa kwa mujibu wa katiba baada ya kiongozi wa kikundi kusepa, kilikuwa ni kikundi cha wanyang'anyi, utesaji na ubabe ambao hawakuruhusu uhojiwe na yeyote.
 
Bila kulitolea uvivu kundi hili tungali na safari ndefu sana.

Yaonesha mama kafika bei:

"Kakubali kumtumikia kafiri ili apate mradi wake."

Yaonesha lile genge liko pale pale na ndilo lililoshika hatamu.

Yawezekana lile dokezo halikufua dafu.
Hilo genge gani?hawazeeki?hawafi?hawaishi?mbona mzee aliyetangulia hamkusema amepotezwa na genge ?😂😂
 
Hapa ndipo ninapoona hitaji la katiba mpya. Leo nimeambiwa tozo kwenye mabenki zimeanza rasmi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
Tozo kwenye benk zilianza muda ila hawakutaka kuweka wazi, kama una mtu benk muulize.

Kitu ambacho natamani kiondolewe kwenye katiba ni ile rais akifa, maaidizi wake achukue nchi aiseee hii ni kitu ya kipumbavu.

Ila aliecheza hii movie kuanzia kuondoka jpm aliicheza haswa, mwenyewe yupo amekaa anaset mitambo inaenda kama atakavyo dah.
 
Back
Top Bottom