Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Ndio ilivyo , Ni ukweli mtupu , mama ni symbolic leader , wamemblock kuongea na marais wastaafu , pia wamemfanyia enslavement , she has no authority or anything to decide .
 
Yote kwa yote. Mimi kama raia wa kawaida ningependa rais wetu awe anatokea kwa nadra. Labda kila baada ya miezi mitatu.

Na akitokea nchi inasimama kusikia yaliyofanyika, yanayofanyika na matarajio.

Akitokea anakuja na suluhu za mambo makubwa yenye matokeo makubwa.

Mtindo wa mkuu wa nchi kuonekana kila siku yupo wapi, anafanya nini ni kama kumchosha tu na sisi raia kumzoea kama wa kawaida na kupoteza hamu ya kumsikiliza.

Mawaziri ndio askari wa miavuli, hao ndio wa kuhangaika na kutoa mrejesho na anae kwamisha anasaidiwa inavyo stahili.

Ni maoni tu yanaweza kupuuzwa.
 
Kwanini mama aporwe madaraka kinyemela? Ina maana yeye hajui majukumu yake vizuri? Au wanamtisha akaamua kuwaachia?
 
Yasije yakajirudia yale ya jiwe kufichwa baada ya kufariki.
 
Hayo mambo ya msingi hayaendi?
 
mama samia alionyesha udhaifu wake pale aliposhika madaraka kuruhusu kuchafuliwa kwa hayati makufuli pili ameachia mawaziri wabunge kumsema vibaya hayati jpm tatu kuwa kinyume na makufuli kwa matendo wale viongozi walioondelewa na makufuli kwa ufisadi yeye akawateuwa miradi inasiasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…