Nina mashaka kuwa wasaidizi wa Rais Magufuli wanamdanganya

Nina mashaka kuwa wasaidizi wa Rais Magufuli wanamdanganya

Ukiona mpaka raisi ya nchi anaongelea mambo ya wivu Kwa Tanzania basi huyo raisi sio mzima kichwani...
Hivi Tanzania tuna vitu gani ambavyo dunia haiwezi kuendelea bila Tanzania???
Tuna Tanzanite.
 
Walau amekubali Corona ipo Tanzania. Sasa akili kumkichwa tuchukue tahadhari.
 
Nadharia za wakomunist inferiority complex,
Aache kukua kwenye cocacola,maziwa ya kopo, computer, condoms,madawa ya ARV vyakula nk aje akuuwe kwenye chanjo.Hawa waliosoma syllabus za zamani zilizopandikizwa chuki dhidi ya weupe tabu kweli kweli.
Kweli kabisa, hilo ni tatizo. Watoto kusomeshwa chuki wakiwa wadogo matokeo yake ni haya. Huyu alisoma mfumo wa Nyerere aliyeondoa hadithi za mbio za Sungura na Kobe badala yake akaanza kuwasomesha watoto 'Kibanga ampiga mkoloni'!
 
Mabeberu wenyewe kazi yao ni kupambana na Tanzania tu.
Hakuna beberu anaye pambana na tanzania na kama ingekuwa hivyo basi hata hawa marais walio pita wasinge weza kulifikisha hapa taifa hili

Ni mawazo ya kijima tu ndio tatizo kubwa na kuto jua kwamba mataifa yanaishi kwa kutegemeana tulikuwa na ukoma, tulikuwa na ndui, tulikuwa na surua nk hayo yote yameisha kwa chanjo hizo hizo za hao hao ambao leo eti hatuwaamini , mawazo ya kijima ndiyo tatizo kubwa .

Ukufuatilia PhD zao wengi wameenda kuzipatia huko huko ambako leo eti hawawaamini kweli huu ni ujima.
 
Hotuba ya leo imeonesha jinsi alivyo empty kichwani, kwani chanjo zote za TB, surua n.k tunazowachanja watoto wetu zimegunduliwa Afrika?

Jamaa ni mtu wa hovyo kabisa, na bila shaka amezungukwa na wajinga watupu wanaomwambia anachotaka kusikia.

Amekomaa kweli na kumwomba Mungu, hajui kuwa huyo Mungu wa kikatoliki aliletwa na mabeberu??
Duh!!! [emoji2960]
 
Sijui Magufuli amesahau, hakuwepo nchini, au amedanganywa na wasaidizi wangu. Kwa mujibu wa kumbu-kumbu zangu ni kwamba chanjo hiyo ilitolewa kwa watoto wa Kitanzania kati ya Mwaka 2013/14 ikihamasishwa na Wizara ya Afya chini ya udhamini wa USAID.
Huwa mnasubiri Rais aongee mpate kukosoa.
Una uhakika gani kwamba Rais wetu alikuwa amemaanisha ni hiyo chanjo unayosema wewe
 
Back
Top Bottom