Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Waliosoma syllabus za zamani ziliwafunga na dunia.Sawa na wale maprofu wa UD wapewao kipindi tbc kuponda mabeberu Ili wasake teuziHotuba ya leo imeonesha jinsi alivyo empty kichwani, kwani chanjo zote za TB, surua n.k tunazowachanja watoto wetu zimegunduliwa Afrika?..
Tuna Tanzanite.Ukiona mpaka raisi ya nchi anaongelea mambo ya wivu Kwa Tanzania basi huyo raisi sio mzima kichwani...
Hivi Tanzania tuna vitu gani ambavyo dunia haiwezi kuendelea bila Tanzania???
Tanzanite.Tuna nini ambacho ni so special??
Misiba imekuwa ni kila siku MUNGU tu atusaidie huyu mzee hana nia njemaBadala ya kujikita kulaumu wazungu muda huo tungetumia kutengeneza chanjo zetu
Tanzanite inatumika Kwenye nini? Jibu swali hiliTuna Tanzanite.
Kweli kabisa, hilo ni tatizo. Watoto kusomeshwa chuki wakiwa wadogo matokeo yake ni haya. Huyu alisoma mfumo wa Nyerere aliyeondoa hadithi za mbio za Sungura na Kobe badala yake akaanza kuwasomesha watoto 'Kibanga ampiga mkoloni'!Nadharia za wakomunist inferiority complex,
Aache kukua kwenye cocacola,maziwa ya kopo, computer, condoms,madawa ya ARV vyakula nk aje akuuwe kwenye chanjo.Hawa waliosoma syllabus za zamani zilizopandikizwa chuki dhidi ya weupe tabu kweli kweli.
Hakuna beberu anaye pambana na tanzania na kama ingekuwa hivyo basi hata hawa marais walio pita wasinge weza kulifikisha hapa taifa hiliMabeberu wenyewe kazi yao ni kupambana na Tanzania tu.
Hakupendi wakati 60% ya bajeti yako inatoka kwai? Huwezi hata kutengeneza net za mbu kwa watu wako unaongea nn weweSasa kwa akili yako wewe mzungu anakupenda sana?
Duh!!! [emoji2960]Hotuba ya leo imeonesha jinsi alivyo empty kichwani, kwani chanjo zote za TB, surua n.k tunazowachanja watoto wetu zimegunduliwa Afrika?
Jamaa ni mtu wa hovyo kabisa, na bila shaka amezungukwa na wajinga watupu wanaomwambia anachotaka kusikia.
Amekomaa kweli na kumwomba Mungu, hajui kuwa huyo Mungu wa kikatoliki aliletwa na mabeberu??
Magufuli ndio anakupenda sana mpaka anatumia machine gun za mabeberu kuhakikisha unazikwa haraka haraka.Sasa kwa akili yako wewe mzungu anakupenda sana?
Huwa mnasubiri Rais aongee mpate kukosoa.Sijui Magufuli amesahau, hakuwepo nchini, au amedanganywa na wasaidizi wangu. Kwa mujibu wa kumbu-kumbu zangu ni kwamba chanjo hiyo ilitolewa kwa watoto wa Kitanzania kati ya Mwaka 2013/14 ikihamasishwa na Wizara ya Afya chini ya udhamini wa USAID.
Katumia kwa nani?Magufuli ndio anakupenda sana mpaka anatumia machine gun za mabeberu kuhakikisha unazikwa haraka haraka.