Nina mashaka kuwa wasaidizi wa Rais Magufuli wanamdanganya

Anayetengeneza Chanjo anamjua au anahasira na nchi mojawapo duniani? so anatumia mgongo wa nchi zote za wazungu? Boko Haram Wanachukia wazungu ila wanatumia silaha za wazungu kusumbua watu...
 
😒😒
 
Ningeelewa kama tungekuwa tumelazimishwa hiyo chanjo... ila kama hatujalazimishwa nini matusi sasa? Chanjo ya Homa ya Ini tulilazimishwa na watanzania wenyewe mimi nilikwepa
 
Ukiona mpaka raisi ya nchi anaongelea mambo ya wivu Kwa Tanzania basi huyo raisi sio mzima kichwani...
Hivi Tanzania tuna vitu gani ambavyo dunia haiwezi kuendelea bila Tanzania???
He is sick for sure. Wamarekani wana kila kitu tulichonacho except Tanzanite.
 
Mkuu usiwaze sisi tunajitenga nae....
tuseme yale ni maoni yake binafsi,sio maoni kama presdo....
akiwa hme kwake Seattle
 
Sasa kwa akili yako wewe mzungu anakupenda sana?
Hivi ni kitu gani tunatumia watanzania ambacho tumetengeneza wenyewe?simu,gari,bunduki inayomlinda,suti anazovaa,internet anayotumia ametengeneza yeye?
 
Chanjo zimekuwepo toka enzi za mwalimu ndo wasubirie corona Ili waje watumalize.
Shida zetu tu zinatumaliza Wala haitahijiki corona.vita,njaa,umasikini,magonjwa,nk ni zaidi ya corona.
 
Chanjo zimekuwepo toka enzi za mwalimu ndo wasubirie corona Ili waje watumalize.
Shida zetu tu zinatumaliza Wala haitahijiki corona.vita,njaa,umasikini,magonjwa,nk ni zaidi ya corona.

Yaani acha tu, kwanza ni mzungu gani ana muda wa kuhangaika na sisi ambao bado tuko kwenye elimu ya matumizi ya choo.
 
Yaani acha tu, kwanza ni mzungu gani ana muda wa kuhangaika na sisi ambao bado tuko kwenye elimu ya matumizi ya choo.
Tangu umezalizwa unadundwa chanjo zitokazo kwa wazungu, unatumia colgate imetoka kwa wazungu,unakunywa cocacola imetoka kwa wazungu leo unasema wanataka kuuwa waafrika kupitia chanjo we ni mad kabisa.
 
Kama maarifa aliyo nayo hayamtoshi Wacha adanganywe tu
 
Kuna mismtach kubwa sana kati ya content na kichwa cha habari yako. Kichwa cha habari ni negative wakati taarifa ni positive
 
Kuna mismtach kubwa sana kati ya content na kichwa cha habari yako. Kichwa cha habari ni negative wakati taarifa ni positive
Kichwa Cha habari kimebadilishwa na mods.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…