Ingekuwa ni hivyo hao makomandoo walioachishwa kazi wasingeachwa wazagae mitaani mithili ya kuku wa kienyeji.Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?
Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Moshi komando wawili walikamatwa na polisi sita...Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Mabaunsa hawana technics za upambanaji, wale wamejaza miili Gym na kukuza vi chest ila hawana mbinu za mapiganoNa kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?
Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Ndio maana tunamhurumia sana UrioNi kwamba kwenye ada za mpesa na tigo pesa hata kabla ya ujio wa tozo
Makato ya kutoa muamala wa 10,000 ilikuwa ni 1,450
Ila luteni alitumiwa 500,000 akatoa 499,000 yani alikatwa buku
Unaweza ukaona ni hoja nyepesi lakini kumbuka pesa hiyo kaielezea kwenye ushahidi ilivyotumika mpaka ikaisha, so hakutakuwa na excuse kwamba nilikosea
Kwasababu kufanya hivyo kutaharibu chain nzima ya ushahidi wake aliotoa na kuonesha kile kiwango alichowapa wale makomandoo kama nauli hakikuwa sahihi, kosa ambalo alitakiwa aliepuke mapema wakati akiongozwa na wakili wake
Tatizo lako unafikiri Makomando wote ni wa kwenye cinema, akina Rambo.Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?
Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Mkuu ruten anathibitisha kwamba Akina Adamoo siyo wahalifu na wala hawajawahi kufanya uhalifu na ndio maana a nasema yeye mwenyewe kuwa wakati anawatafta kina Adamoo aliwaambiwa kuwa wanakwenda kumlinda mbowe,Swali la msingi kwangu, je baada ya watekelezaji wa mipango yq ugaidi kukamatwa bila ya kumkamata mfadhili...je walikua na uhakika Kama mfadhili atashindwa na mipango.
Atarekebisha, atasema simu ilikua na salio jingine au alisongesha[emoji23][emoji23]Ni kwamba kwenye ada za mpesa na tigo pesa hata kabla ya ujio wa tozo
Makato ya kutoa muamala wa 10,000 ilikuwa ni 1,450
Ila luteni alitumiwa 500,000 akatoa 499,000 yani alikatwa buku
Unaweza ukaona ni hoja nyepesi lakini kumbuka pesa hiyo kaielezea kwenye ushahidi ilivyotumika mpaka ikaisha, so hakutakuwa na excuse kwamba nilikosea
Kwasababu kufanya hivyo kutaharibu chain nzima ya ushahidi wake aliotoa na kuonesha kile kiwango alichowapa wale makomandoo kama nauli hakikuwa sahihi, kosa ambalo alitakiwa aliepuke mapema wakati akiongozwa na wakili wake
Itakuwa ni new factAtarekebisha, atasema simu ilikua na salio jingine au alisongesha[emoji23][emoji23]
Naona unawapa mbinu za kumkamata Mbowe huko mbeleni....😂😂😂😂
Kweli kabs hawa makomandoo wamechezewa sinema na Luten urio bila kujijua,hv ikatokea wakashinda kesho huyo urio ataachwa salama kweli na hao wanafunzi wake ?..Luteni Urio amekosea kuwalengesha vijana wa watu wakaacha ajira zao na kuwatumbukiza ktk " mipango " ya Mbowe.
..Mbowe alitakiwa achomekewe undercover police ambao wangeenda naye taratibu mpaka wamkamate kukiwa na ushahidi usio na mashaka.
Ruten???
..makachero wangeenda naye mdogo-mdogo mpaka wamkamate Mbowe red handed na hiyo ndiyo njia salama zaidi.
Wakati wote Lt Urio alitaka kulazimisha ushahidi wake uwe wa kigaidi. Pale anaposema Freeman alituma pesa ili vijana wakafanye uhalifu. Wakili wake anamkataza tusiende huko🤣🤣Aisee, kiukweli ushahidi wa kubumba wa mtu aliyekalishwa chini ili akaseme uongo kum - incriminate ndugu yake asiye na hatia ni rahisi mno kuugundua kwa sababu huwa unakosa uhalisia na siku zote huyu shahidi wa uongo hujisahau na hukosa consistency katika melezo yake....
Kwa mfano, huyu Denis Urio, kuna maelezo ya matendo yake mwenyewe au ya wale anaotaka wahukumiwe akiwemo Freeman Mbowe hayana uhalisia bali ni hisia zake tu na kwa namna yoyote hayathibitiki na mtu mwenye akili timamu hawezi kuàmini wala kufikiri kutendwa na mtu smart kichwani mwenye nia kutenda uovu mkubwà kama wa ugaidi...!
Najua (anaweza) kuendelea kumwaga pumba zake kesho...
Nakubaliana na wewe kuwa, kwa hakika kabisa, pengine huyu Denis Urio ndiye anayeweza kuwa shahidi wa hovyo zaidi wa upande wa mashtaka kuliko mashahidi wengine 11 wote waliotangulia anàyejaribu kuweka wazi (expose) udhaifu wa mashitaka haya...!!!
Ni afadhali hata Kingai au Mahita...!!
To cut it short, hii timu ya kubumba kesi hii ili kum - incriminate Ndg Freeman Mbowe wamefeli kwa kiwango cha juu sana maana hata mjinga kabisa aweza kujua ukweli huu mpaka hapa ilipofika...!!
Ni kazi ngumu sana. Kama vipi wamfunge tu kwa namna wanavyoona lakini hapo hakuna kesi ni utopolo.Aibu tupu kupambana kumfunga mtu ambaye ni innocent kisa tu unaweza kuwa juu ya mihimili mingine ya dola,ndio maana visasi haviishi Afrika.
Kwa sababu tu walitaka kumzuia Mbowe asifanye uchaguzi akiwa na utulivu huku wakijua NEC na Polisi itawafanya washinde bila hata kuhesabu kura.Naumia sana nikiwaona makomandoo wanateswa bila sababu ya msingi
Urio ndiye atajibu maswali kesho ijumaa.Hadi sasa nasubiri kusikia ni wakati gani Jeshi la Polisi liliishirikisha Idara ya Ujasusi ya Tanzania baada ya kusikia kuna uhalifu mkubwa unaoratibiwa na unahatarisha amani ya nchi na pengine uRais wa nchi...
Pia nasubiria ni wakati gani ambapo Jeshi la Polisi lilihusisha Jeshi la Wananchi (Idara ya Ujasusi wa jeshi) kuieleza kuwa kuna watu wanapanga nchi kutotawalika maana jukumu mojawapo la jeshi la wananchi ni kuhakikisha nchi ipo stable...
Muulize Lissu. Kwa Tanzania ya Magufuli mwanasiasa mjinga tu asingeweka suala la ulinzi mbele kabisa.Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?
Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Muhaya kilaza (Ruten)