Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Muhuni husema uongo na mpumbavu niwewembona una hasira sana, au wewe ndio mhuni au mtoto wa mhuni?
Wewe ndo takatakaPolePole ni TakaTaka
Mwanamke yoyote kuwa na akili ni ngumu .Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Lini alitubu mbele za umma ushenzi wake?Ameokoka sasa ,ulitaka afe na dhambi zake
Umepigwa ban sasa na matusi yako saigilomagema .We
We kasafishe huo ******
Na wewe unasahau kua Samia alikua makamu wa Rais miaka mitanoAwamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Una ubongo au samadi ya nguruwPole sana, ulemavu sio kikwazo saivi tutabusti ubongo wako kwa msaada wa AI brain support.
Kwa nini husemi both Samia na Polepole wote washenzi? Wote walishirikiLini alitubu mbele za umma ushenzi wake?
Ili tumpokee na tumwone hero lazima atubu kwanza ya kale mbele za watu.
Dhambi ulizowatendea watu unapaswa kutubu kwa watu sio kwa Mungu
Kama ni hivyo sawaUkitulia kidogo utawaelewa, hawamshangilii yeye kama, mtu binafsi, Hana, usafi wowote, ila, hqkuna ubishi, huyu ni alikuwa, insider wa ccm, anatupa, madudu yote yanayofanyika ndani ya ccm
Kweli wote ni walewale samia naye anatakiwa kuhojiwaKwa nini husemi both Samia na Polepole wote washenzi? Wote walishiriki
Nina ubongo!Una ubongo au samadi ya nguruw
Kuamini kuwa Bongo kuna mahakama inayotenda haki na kama kweli hauna ufahamu wa kujua kuwa kufungiwa kwa kanisa badala ya ku-deal na Gwajiboy peke yake si maelekezo kutoka kwa bi Urojo wewe si tu ni mwehu bali ni mpumbavu usiye na hata chembe ya akili.Gwajima kwani ni nani??
Kanisa lake limefutwa kwa mujibu wa sheria ukitaka aachwe aendelee kuleta chuki na kuitukana serikali kwa kutumia podium ya kanisa ili iweje..??
Kanisa lake halijafutwa na samia,limefutwa na mamlaka yake ya usajili ambayo ni wizara ya mambo ya ndani na ana ruhusa ya kwenda kukata rufaa.
Ni mwehu pekeyake anaweza kukaa na kumshangilia fala kama pole pole.