Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu


Ukiwa mwanaume usiyetaka mwanamke apate ujauzito basi zingatia matumizi ya kondomu, la sivyo kubaliana na matokeo...

Unatembea pekupeku halafu unataka kutusumbua tuanze kuhesabu siku zisizotuhusu, ebohhh!
 
Amenitumia had ultrasound, sidhan km amedanganya
 
Kwa Hiyo hata Kwa hili unaomba Ushauri Mtoto wa Kiume...!?
 

Mimba inahesabiwa tofauti na ulivyoeleza, hesabu yake hufanyika tokea the first day of the last menstrual period...

Huyu mwamba yeye anatumbukiza tu mashine kavukavu hata pasipo kuhesabu pamoja siku za mwanamke, kutofatilia kama amesafiri au kubadili hali ya hewa karibuni, kujua kama anapitia stress n.k...
 
Wacha kulima kwa simu, nenda mwenyewe shambani kajihakikishie kama ulichopanda ndicho.
Utavunishwa mabua chalii angu
 
Usijiulize maswali mengi ukirud hme nenda nae hoapitali piga DNA utapata majibu

Maana hawa viumbe siku hz hawaeleweki
 
Ndio mkuu nlienda kavu afu ilkuwa n one night stand mtoto sikuwa hata na akil ya kuja kuishi nae hpo ndio nawaza daaah tatzo ndio kubwa sikutegemea kumuoa.

Halafu hao wa one night stand ndio wana vizazi vya karibu, kushika mimba ni dakika 0...

Na wakizaa ni mtoto wa kike 90%
 
Ni kweli mkuu, itakuwa ni toka siku ya kwanza ya mzunguko wa mwanamke wa mwisho, nlikuwa nimesahau.

Mwanamke kama haupo tayari akuzalie mtoto ni vyema ukilala nae uzingatie namna ya kujikinga, siku baadhi wanaforce mimba hasa wakijua una maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…