Nina Mashaka na Ushindi wa Uhuru Kenyatta

Nina Mashaka na Ushindi wa Uhuru Kenyatta

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,742
Nasema nina mashaka na Ushindi wa Uhuru kwa Dosari zifuatazo

1. Jumla ya waliojiandikisha = 14,308,221
2. Jumla ya waliopiga Kura = 12,338,667

3. Uhuru kapata Kura 6,173,433 = 50.03%
4. Raila kapata Kura 5,340,546 = 43.28%

Taarifa za awali zilisema Wakenya 70% wamejitokeza kupiga Kura, je kwa uhalisia tukiangalia waliojiandikisha na idadi ya waliopiga Kura tunapata 86.2% ongezeko hilo la idadi ya waliopiga kura limetoka wapi? nina mashaka kura nyingi feki ziliingizwa katika zoezi hili na ndo zilizomfikisha Uhuru hapo alipo yaani zaidi ya 10% ya kura zimeongezwa. kwa kilichofanyika Kenya hakina tofauti na Mbinu walizotumia CCM Tanzania 2010 kuingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura.

***NAENDELEA KUSEMA TENA NINA MASHAKA NA USHINDI HUU***
 
Taarifa za awali zilisema Wakenya 70% wamejitokeza kupiga Kura

Taarifa za ...... what you need is a deeper scope of understanding on how data is tabulated.
 
Nasema nina mashaka na Ushindi wa Uhuru kwa Dosari zifuatazo

1. Jumla ya waliojiandikisha = 14,308,221
2. Jumla ya waliopiga Kura = 12,338,667

3. Uhuru kapata Kura 6,173,433 = 50.03%
4. Raila kapata Kura 5,340,546 = 43.28%

Taarifa za awali zilisema Wakenya 70% wamejitokeza kupiga Kura, je kwa uhalisia tukiangalia waliojiandikisha na idadi ya waliopiga Kura tunapata 86.2% ongezeko hilo la idadi ya waliopiga kura limetoka wapi? nina mashaka kura nyingi feki ziliingizwa katika zoezi hili na ndo zilizomfikisha Uhuru hapo alipo yaani zaidi ya 10% ya kura zimeongezwa. kwa kilichofanyika Kenya hakina tofauti na Mbinu walizotumia CCM Tanzania 2010 kuingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura.

***NAENDELEA KUSEMA TENA NINA MASHAKA NA USHINDI HUU***
Mkuu hiyo turnout ya 70% wewe uliipata wapi? Au ni zile anticipation za watu kwamba huenda turnout ikafika 70%. Kuna watu niliwaambia ni ngumu sana kujua idadi ya waliopiga kura kama hujamaliza kuhesabu hasa uchaguzi unaohusisha nchi nzima kama huu.
 
mtoa mada acha mahaba kwa mgombea fulani,hoja yako ni nzuri lakini umeichanganya na mahaba binafsi!sema nina mashaka na taratibu za uchaguzi sio una mashaka na ushindi wa uhuru,kama kura kuongezwa tukisema waliongeza ni kina raila na imemsaidia kumsogelea uhuru utapinga vipi hoja hiyo?zungumzia uchaguzi sio mshindi!wakenya hawataki kurudi nyuma na vijimaneno kama vyako!wameshachagua
 
Unataka wakenya wafanye nini kwa kauli hii ya uchochezi. Acha hiyo wakenya wameamua hupaswi kutoa kauli mbaya kama hiyo!
 
Soon we will observe election disillusionment after the euphoria of election results!
 
Mkuu hiyo turnout ya 70% wewe uliipata wapi? Au ni zile anticipation za watu kwamba huenda turnout ikafika 70%. Kuna watu niliwaambia ni ngumu sana kujua idadi ya waliopiga kura kama hujamaliza kuhesabu hasa uchaguzi unaohusisha nchi nzima kama huu.
Ni kweli yapo mengi ya kutilia mashaka matokeo haya.

La kwanza, kumbuka uchaguzi huu ulikuwa ukiendeshwa electronically, hata mimi nakumbuka ni Tume yenyewe ilitangaza kuhusu hiyo turnout ya 70% Vile vile tukumbuke ile ahadi ya mwenyekiti wa Tume wakati uchaguzi unamalizika, akaahidi atatoa matokeo within 48 hours, ambayo ikageuka kuwa more than 120 hours, ni kitu gani kikubwa kilichosababisha uchelewaji huo mkubwa, wakati Marekani mwaka jana tu ambao nao uchaguzi wao waliuendesha electronically, walitoa majibu less than 12 hours!!

Zipo pia habari kuwa vipo vituo vingi, idadi ya kura zinazoonekana zimepigwa katika vituo hivyo, zinazidi kwa kiasi kikubwa idadi ya watu waliojiandikisha kwenye vituo hivyo!!

WaTZ tulipopata tu habari kuwa Kinana ameitwa Kenya kwa ajili ya kusimamia kura hizo, na ikijulikana wazi kuwa CCM walikuwa wanamsapoti Uhuru, moja kwa moja tukajua jangili huyo anaenda fanya dili kwenda kuiba kura za Odinga, kama ambavyo huwa anafanya dili ya kutuibia pembe zetu za ndovu hapa nchini, hadi hivi sasa wamekaribia kwisha kabisa!!
 
Sasa waziri mkuu si Raila Odinga....tumuulize yeye imekuwaje maana hata sisi tunachojua ni kwamba tumeshinda....sasa sijui ungekuwa wewe ungelia au ungechekelea.
 
Na kama ni kuongeza basi Raila ndio kaongeza kura na ndio sababu kamsogelea Uhuru.
 
Jaluo mbishiii! anyway kuna fursa ya kwenda kupeleka malalamiko mahakamani...so no problem wataya solve mbele kwa mbele...

LAKINI kwa nini hawatangazi matokeo rasmi hadi sasa hivi?, watu wazima na vyeo na suti zao wamegandishwa Bomas na Catholic uni tangu saa tano asubuhi, hata kama ni saa za ki Africa sio hivyo jamani haa!
 
Nampa pongezi sana Uhuru kwa kuchaguliwa na wananchi wa Kenya kuwa Presidaa wao.. Inawezekana uchaguzi ulikuwa na mawenge fulani lkn yasingeweza kubadilisha matokeo ya uraisi.. Ninachokiona mie ni watu wengi kuhadaiwa na hizi kura za maoni za synovate ambazo zilikuwa zinambeba sana Raila..

Pia napenda sana kuwapongeza wananchi wa kenya kwa kushiriki zoezi la uchaguzi salama na hatimae kulimaliza.. Wengi walidhani yangejirudia yale ya mwaka j2007/2008.. Lkn mmewaonyesha kwamba yale yalikuwa ni makosa ambayo mwisho wa siku yamewasaidia kuwa Wakenya zaidi.. Kumbukeni Kenya ni kubwa..
 
Nasema nina mashaka na Ushindi wa Uhuru kwa Dosari zifuatazo

1. Jumla ya waliojiandikisha = 14,308,221
2. Jumla ya waliopiga Kura = 12,338,667

3. Uhuru kapata Kura 6,173,433 = 50.03%
4. Raila kapata Kura 5,340,546 = 43.28%

Taarifa za awali zilisema Wakenya 70% wamejitokeza kupiga Kura, je kwa uhalisia tukiangalia waliojiandikisha na idadi ya waliopiga Kura tunapata 86.2% ongezeko hilo la idadi ya waliopiga kura limetoka wapi? nina mashaka kura nyingi feki ziliingizwa katika zoezi hili na ndo zilizomfikisha Uhuru hapo alipo yaani zaidi ya 10% ya kura zimeongezwa. kwa kilichofanyika Kenya hakina tofauti na Mbinu walizotumia CCM Tanzania 2010 kuingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura.

***NAENDELEA KUSEMA TENA NINA MASHAKA NA USHINDI HUU***
Au wewe ni "Makufuli"nini?
 
Bwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Hayooooooooooooo!! Yameshindwa uchaguzi, hayoooooooooooooooooooooooooo!!!! Acha uchochezi wa Ki-TZ wewe, uchaguzi wa Kenya unakuhusu nini wewe hata kama wameibiana kura? Acha hizo mkuu lazima watu wakubali kwamba Uhuru kapata ushindi kutoka kwa Wakenya period!!!!!
 
Sasa ukiwa na mashaka sisi tukufanyeje? tulie? au turukeruke
mkuu Koffie, mleta mada ana nia njema tu nayo ni kujua ukweli. Ukishajua ukweli unakuwa na maana sana hata pale unapolia au unapofurahi maana utasaidia kuondoa matatizo kwa vizazi vinavyofuatia.

wanye tabia ya kuhoji pia wanaweza kujiuliza ni vipi electronic ballot tallying ilileta zaidi ya kura 300,000 zikiwa zimeharibika lakini kwa huo 'ubishi' wa akina Laila, zilipohesabiwa upya manually namba ya hizo zilizoharibika ikashuka mpaka chini ya 50,000!!!! (alafu umzuie mtu asiwe na mashaka???).

Kuna hata forms zingine ziko hapa jf ambazo zinaonyesha wazi kuwa idadi ya kura zilizopigwa inazidi jumla iliyoandikwa na wenyewe walichokiplan ni kumtangaza mshindi, ushahidi watajua huko mahakamani ambapo napo watatumia 'akili' nyingine.

Hawa jamaa wanaoneka walishaplani kupata urais kwa njia yoyote na wameupata. Kisichojulikana bado ni je, wataufanyia nini??
Kwa hiyo asiye hoji na asihoji lakini sio dalili njema kwa wanaoipenda Afrika na amani kwa ujumla.

.... oooohhh hilo tu, sembuse Kenyatta.... hata mke au gfriend wako una MASHAKA NAYE....so kuwa na MASHAKA NI KAWAIDA SANA.... too late to discuss this....¡¡¿¿¿★★★☆☆☆♥♡♡[[}{《●●■{○•°~~~|■《☆
 
Waziri Mkuu + Makamu wa raisi hawa ni viongozi wakuu wa Serikali, huyo aliyeshinda ni naibu waziri mkuu, hapo lazima tujiulize ni nani angeweza kuingiza hizo kura kwa hari kama hii au uhuru wapona Kibaki? Tatizo waafrika hatuna desturi ya kukubari kushindwa maana kila mtu lazima atafute sababu, mfano hizo takwimu zilipatikanaje kabla ya watu hawajapiga kura labda ungesema kua ilikua estimation, sasa kama kura zingezidi hapo watu wangekua na mashaka lakini kwa hali hii Mkuu tukubari jamaa ndiye mshindi.
 
Back
Top Bottom