kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,742
Nasema nina mashaka na Ushindi wa Uhuru kwa Dosari zifuatazo
1. Jumla ya waliojiandikisha = 14,308,221
2. Jumla ya waliopiga Kura = 12,338,667
3. Uhuru kapata Kura 6,173,433 = 50.03%
4. Raila kapata Kura 5,340,546 = 43.28%
Taarifa za awali zilisema Wakenya 70% wamejitokeza kupiga Kura, je kwa uhalisia tukiangalia waliojiandikisha na idadi ya waliopiga Kura tunapata 86.2% ongezeko hilo la idadi ya waliopiga kura limetoka wapi? nina mashaka kura nyingi feki ziliingizwa katika zoezi hili na ndo zilizomfikisha Uhuru hapo alipo yaani zaidi ya 10% ya kura zimeongezwa. kwa kilichofanyika Kenya hakina tofauti na Mbinu walizotumia CCM Tanzania 2010 kuingiza kura feki kwenye vituo vya kupigia kura.
***NAENDELEA KUSEMA TENA NINA MASHAKA NA USHINDI HUU***