Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..