Nina mashaka sana na uwepo wa GSM katika Klabu ya Yanga

Kile kipindi wanapitisha bakuli haya mawazo hukuyaleta
Au hao wanachama na mashabiki million 5 hawakuwepo ?
Swali zuri kabisa
Haya ndio Yale Yale frame zimefungwa mwaka unaenda unapanga unafungua biashara inaenda vizuri mwenye nyumba anakuja na kukwambia mwisho wa Kodi Yako nianchie frame yangu nataka kukarabati
 
Na bila kujua ulijipangaje anafungua biashara ile ile uliofungua ww ukafanikiwa anafeli!
 
Back
Top Bottom