Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Tuambie ni lini Manji aliweka pesa yake Yanga SC bila yeye kuwa mwenyekiti pale.lengo kulinda hizo hela wanazotoa full stop!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akili wanazo? Try Again yupo pale kwa masilahi ya nani? Barbara aliwekwa na nani na kazi yake ulikua nini?Tuambie ni lini Manji aliweka pesa yake Yanga SC bila yeye kuwa mwenyekiti pale.lengo kulinda hizo hela wanazotoa full stop!
[emoji849]Washabiki tunataka mataji, hata kama yanakuja kwa njia ya mauaji
Ha ha ha nimecheka sanaKama ingekuwa hivyo basi leo wewe ungekuwa tiyari ushaolewa na MO na ndio maana ukivaa jezi ya Kolo FC lile tangazo la miche ya sabuni ukivaa jezi lina kuwa lipo usawa wa makalioni,so ukikaa unakua umeukalia mche wa sabuni ya MO.
#NgojaTwendeKihuni.
Soma hiyoootukianza kuchambua madudu ya mo utaona utopolo wanavyojazana ila wakiguswa GSM wanageuka kumtetea kwa kifupi hivi vilabu vinanyonywa kwa sababu ya wanachama na mashabiki vilaza
MmmmmhhAnayeandaa mikataba ya taasisi ni mwanasheria fiche ujuha wako. Hapo kabla ya GSM wewe ulichangia nn yanga ?
Haya yote ni madhara ya kukosa kaziAya kumekucha tayari, tulishayaona haya ya GSM kitambo sana
So mkuu maoni yako ni yapi?Aya kumekucha tayari, tulishayaona haya ya GSM kitambo sana
Kipindi hayupo Gsm hizo fedha za bakuli zilitosha kuendesha timu,, msiwe wanafki mpira ni pesa ..Acha tu mzee, sisi sio wa kutegemea wawekezaji, Simba na Yanga pesa zipo sana kwa mashabiki, basi tu yaani.
Huyu FaizaFoxy huwa asema wajinga ndio waliwawoSijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Ndio mambo ya wanachama inabidi tuachane nayo watu wenye ela waweke mzigo vinginevyo tunazinguaWenzetu wanzetu wamefika mbali kwa club kumilikiwa na watu wenye pesa huu ujinga wa sijui wanachama n.k haufai una zalisha migogoro majungu na njaa mara wazee
Yanga na Simba haikuanzishwa kama Azam.Wewe mwenye akili anzisha timu yako ya mfano acha maneno mengi
So ulitaka waweke pesa zao bila faida? Wewe unaweza kuwekeza sehemu isiyokua na return?Yanga na Simba haikuanzishwa kama Azam.
Vile ni Vilabu vya ushirika na vya kiharakati.
Wadhamini hawakuanza leo na hawalazimishwi bali wanajikomba wenyewe kudhamini baada ya kuona kuwa kuna faida.
GSM walekuja juzi tu Tanzania sasa hapo wanahistoria gani ya kuipenda Yanga kama hawanufaiki?
So ulitaka waweke pesa zao bila faida? Wewe unaweza kuwekeza sehemu isiyokua na return?