Nina mashaka sana na uwepo wa GSM katika Klabu ya Yanga

Nina mashaka sana na uwepo wa GSM katika Klabu ya Yanga

Tuambie ni lini Manji aliweka pesa yake Yanga SC bila yeye kuwa mwenyekiti pale.lengo kulinda hizo hela wanazotoa full stop!
 
Tuambie ni lini Manji aliweka pesa yake Yanga SC bila yeye kuwa mwenyekiti pale.lengo kulinda hizo hela wanazotoa full stop!
Kwani akili wanazo? Try Again yupo pale kwa masilahi ya nani? Barbara aliwekwa na nani na kazi yake ulikua nini?
 
Kama ingekuwa hivyo basi leo wewe ungekuwa tiyari ushaolewa na MO na ndio maana ukivaa jezi ya Kolo FC lile tangazo la miche ya sabuni ukivaa jezi lina kuwa lipo usawa wa makalioni,so ukikaa unakua umeukalia mche wa sabuni ya MO.

#NgojaTwendeKihuni.
Ha ha ha nimecheka sana
 
tukianza kuchambua madudu ya mo utaona utopolo wanavyojazana ila wakiguswa GSM wanageuka kumtetea kwa kifupi hivi vilabu vinanyonywa kwa sababu ya wanachama na mashabiki vilaza
 
tukianza kuchambua madudu ya mo utaona utopolo wanavyojazana ila wakiguswa GSM wanageuka kumtetea kwa kifupi hivi vilabu vinanyonywa kwa sababu ya wanachama na mashabiki vilaza
Soma hiyooo
Screenshot_20230711-131300_Twitter.jpg
 
Acha tu mzee, sisi sio wa kutegemea wawekezaji, Simba na Yanga pesa zipo sana kwa mashabiki, basi tu yaani.
Kipindi hayupo Gsm hizo fedha za bakuli zilitosha kuendesha timu,, msiwe wanafki mpira ni pesa ..
 
Wenzetu wanzetu wamefika mbali kwa club kumilikiwa na watu wenye pesa huu ujinga wa sijui wanachama n.k haufai una zalisha migogoro majungu na njaa mara wazee
 
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?

Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??

Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Huyu FaizaFoxy huwa asema wajinga ndio waliwawo
 
Wenzetu wanzetu wamefika mbali kwa club kumilikiwa na watu wenye pesa huu ujinga wa sijui wanachama n.k haufai una zalisha migogoro majungu na njaa mara wazee
Ndio mambo ya wanachama inabidi tuachane nayo watu wenye ela waweke mzigo vinginevyo tunazingua
 
Wewe mwenye akili anzisha timu yako ya mfano acha maneno mengi
Yanga na Simba haikuanzishwa kama Azam.
Vile ni Vilabu vya ushirika na vya kiharakati.

Wadhamini hawakuanza leo na hawalazimishwi bali wanajikomba wenyewe kudhamini baada ya kuona kuwa kuna faida.

GSM walekuja juzi tu Tanzania sasa hapo wanahistoria gani ya kuipenda Yanga kama hawanufaiki?
 
So ulitaka waweke pesa zao bila faida? Wewe unaweza kuwekeza sehemu isiyokua na return?
 
Back
Top Bottom