Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
Huyo jamaa inawezekana hayupo kwenye mnyororo wa kula pesa za Yanga ndio Maana anaanzisha fitina.Wabongo wakati fulani tupunguze kuumiza vichwa na pia kujipandisha presha na mwilini kwa vitu ambavyo havina tija kwenye maisha yetu.
Mimi ni shabiki wa Yanga, lakini huwa sipotezi kabisa muda wangu kujitesa na mambo yanayotokea huko. Sijui kwa nini GSM anaidhamini Yanga! Sijui kwa nini rais wa Yanga anasafiri na timu kila mahali!!
Kile kipindi wanapitisha bakuli haya mawazo hukuyaletaSijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?? Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Hisia zako ni za tamaa ya upigaji, utakuwa upo kwenye kundi fulani lisilonufaika hapo Yanga.Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?? Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?? Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Hapo kwenye mauzo ya jezi wamepewa 300m tu [emoji23][emoji23][emoji23]Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10 .
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu .
Wewe ulitaka tupewe sh ngapi?Hapo kwenye mauzo ya jezi wamepewa 300m tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anayehoji wala anayeuliza swali.
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Anayeandaa mikataba ya taasisi ni mwanasheria fiche ujuha wako. Hapo kabla ya GSM wewe ulichangia nn yanga ?Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Manara hawezi sema hayo labda jemedari na walivyobahatisha caf confederation cup final ngoja uje kupigwa maweSijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Mnapata tabu sana Makolo FC kupretend kuwa mashabiki wa Yanga.Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
Acha tu mzee, sisi sio wa kutegemea wawekezaji, Simba na Yanga pesa zipo sana kwa mashabiki, basi tu yaani.Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
ni rukhsa kuota ndotoSijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
AahaaaaKile kipindi wanapitisha bakuli haya mawazo hukuyaleta
Au hao wanachama na mashabiki million 5 hawakuwepo ?