Mzee mwenzangu umenena, ila tukitafakar ukubwa wa hizi timu zetu, sisi sio wa kukosa 40B.Wabongo wakati fulani tupunguze kuumiza vichwa na pia kujipandisha presha na mwilini kwa vitu ambavyo havina tija kwenye maisha yetu.
Mimi ni shabiki wa Yanga, lakini huwa sipotezi kabisa muda wangu kujitesa na mambo yanayotokea huko. Sijui kwa nini GSM anaidhamini Yanga! Sijui kwa nini rais wa Yanga anasafiri na timu kila mahali!!
Simba na Yanga zina wanachama milioni 5?Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
Nenda mahakamani🟦 Ukifuatilia jezi za utopolo zinazobuniwa Sasa hivi LOGO ya timu imebadilika kutoka yellow and green na kuwa rangi ya gold. Maana yake brand ya timu imebadilishwa.
🟦 Kwenye mechi kubwa mashabiki wa mchongo wanabrand zaidi kwa kuliimba jina la mwekezaji wa timu kuliko timu yenyewe
ni kama ilivyo tanzania mkuu, tunashindwa kuendesha bandari tunawapa wageniWaafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
Na akae akijua kati ya hao mashabiki milioni 5 mashabiki milioni 4 na laki 8 ni majobless hawana kazi wala kibarua bado ni wategemezi kwa familia zao.Kile kipindi wanapitisha bakuli haya mawazo hukuyaleta
Au hao wanachama na mashabiki million 5 hawakuwepo ?
Hawa watu wanajikuta wanakua hesabu za makaratasi kumbe wapuuzi tuNa akae akijua kati ya hao mashabiki milioni 5 mashabiki milioni 4 na laki 8 ni majobless hawana kazi wala kibarua bado ni wategemezi kwa familia zao.
Au unaonaje mkuu??Aahaaaa
Uwekezaji upo aina nyingi, maana kulipa ada za uanachama ni hiari na ni ngumu Kwa watu wengi, na pia kununua jezi unahitaji Pesa nyingi kidogo si Kila mwananchi anaweza!Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
Sijui Kwanin nina hisia hizi, ila napata wasiwasi sana km GSM wataiacha Yanga salama, kwasasa Yanga na GSM ni km kitu kimoja, Eng. Hersi ni Rais wa Yanga hapo hapo ni Mtendaji wa GSM, hivi hakuna uwezekano kweli GSM ikanufaika zaidi kuliko Yanga?
Mikataba inayotoka GSM anaiandaa Eng. Hersi, inavyofika Yanga anaisain Eng. Hersi, hapa hakuna walakin wowote??
Anyway nimewaza tu, na nimepata mashaka kidogo, labda wasiwasi wangu..
Kweli Wew Ni utopolo inamaana Kama mwanaume mwenzio akikusaidia kipnd hauna k2 Leo hii anataka akuoe kabsa utakubali Ili ulipe fadhila au Sio?Mnapata tabu sana Makolo FC kupretend kuwa mashabiki wa Yanga.
Kwa sisi mashabiki wa Yanga tuliyo ishuhudia miaka ile minne ya Yanga inatembeza bakuli, Yanga inamtegemea Yikpe na Molinga, Yanga ya Kuungaunga,tunajua tuliyo yapitia na wapi GSM alipo tutoa so hata akitaka hisa 100% mwache apewe, shabiki wa mpira siku zote anataka timu ishinde na ipate Makombe basi.
Kipindi cha miaka miwili na nusu cha GSM Yanga imechukua treble mara mbili, mbele ya Kolo FC ambayo ilikuwa vizuri kiuchumi, mbele ya Azam iliyo vizuri kiuchumi na kufanya usajili mkubwa msimu uliopita, ila still wanaume tukabeba ndoo mara 2,unbeaten mechi 49 na kuwa club ya kwanza kutoka Tanzania KWA MUJIBU WA CAF kufika fainali ya michuano ya Confederation Cup.
So wee endelea kuumia na bado ,huu ukimya wa Yanga unawatia uchizi nyie ila sisi wenye timu hatuna wasiwasi na GSM kwani alipo tutoa tunajua.
Kama ingekuwa hivyo basi leo wewe ungekuwa tiyari ushaolewa na MO na ndio maana ukivaa jezi ya Kolo FC lile tangazo la miche ya sabuni ukivaa jezi lina kuwa lipo usawa wa makalioni,so ukikaa unakua umeukalia mche wa sabuni ya MO.Kweli Wew Ni utopolo inamaana Kama mwanaume mwenzio akikusaidia kipnd hauna k2 Leo hii anataka akuoe kabsa utakubali Ili ulipe fadhila au Sio?
Kuna ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania 7 kuna wawili wenye matatizo ya akili.. sasa katika hao wawili wote ni mashabiki wa Yanga. Kiufupi katika hao milioni 10 wanaoweza kulipia ada ni kama laki 3 tu.Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
kwa majibu haya. Wacha gsm waendelee kuwanyoosha tuWewe ulitaka tupewe sh ngapi?
leta offer yako umtoe GSM usibwatuke tu kama mbwakwa majibu haya. Wacha gsm waendelee kuwanyoosha tu
...Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10...Waafrika ni watu wa ajabu sana.
Club in wanachama zaidi ya mil.5 halafu inategemea mwekezaji Mgeni.
Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10.
Zikiuzwa t-shirt nakala mil. 1 Kwa wastani wa sh. Efu 25 ,ni bil. 15 n.k.
Vilabu vya simba na Yanga vinauwezo wa kujiendesha vyenyewe bila kutegemea mtu. Tatizo ni uongozi kama lilivyo tatizo Kila sehemu.
Binadamu bila Elimu na kujengewa hamasa basi ni kiumbe wa ajabu kuliko mnyama na viumbe wote.Kuna ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania 7 kuna wawili wenye matatizo ya akili.. sasa katika hao wawili wote ni mashabiki wa Yanga. Kiufupi katika hao milioni 10 wanaoweza kulipia ada ni kama laki 3 tu.
Tiketi zinauzwa mara mbili pale uwanja wa Taifa. Wanaouza ni wale waliopewa dhamana ya kusimamia....Kila Mwana Chama akilipia Kadi ya uanachama sh. efu mbili TU Kwa mwaka ni bil. 10. Achilia mbali wale wenye moyo wa kuchangia mpaka mil. 10...
Tatizo la wengi ni kupenda matokeo mazuri bila kuingia gharama. Ni wachache sana wapo willing kuchangia pesa kwa vilabu vyao.
Mchawi siyo lazima awange na tunguli, huyo ni mchawi colified.Kile kipindi wanapitisha bakuli haya mawazo hukuyaleta
Au hao wanachama na mashabiki million 5 hawakuwepo ?
Wewe mwenye akili anzisha timu yako ya mfano acha maneno mengiBinadamu bila Elimu na kujengewa hamasa basi ni kiumbe wa ajabu kuliko mnyama na viumbe wote.
Unajua hata maendeleo yasiporatibiwa vizuri kisomi na kitaalamu yanagaeuka kuwa janga na tatizo kubwa Kwa Dunia na ustawi endelevu. Mfano watu wakiachwa wajenge nyumba watajenga mpaka katikati ya reli na Barabara.
Watu wakiachwa wachimbe madini bila kufuata utaalam wa mazingira wataharibu vyanzo vya maji bila kujali kuwa maji ni muhimu kuliko Madini mengine yote.
Kila kitu chema na kizuri Duniani kimemengwa au kuasisiwa na watu wenye nia njema.
Matizo ya akili yanatibika , kama tuna watu wanaosafiri kutoka Kigoma kuja kukaa nje ya uwanja wa Taifa na kuangalia mechi ya Simba na Yanga kwenye TV basi hawashindwi kulipa Ada Sh. Mia Tano Kila mwaka Kwa tigo pesa kulipia ada zao za uanachama. Ambapo Kwa mwaka ni TSh. 6000/- .
Tatizo kubwa kila mahali penye pesa ni kukosa uaminifu. Wahuni na wezi wanatumia rushwa ,uchawi na hata kuua na kila aina ya hila ili aongoze vilabu na kila sehemu na Idara yenye mapato Kwa Lengo la kwenda kupata pesa za anasa na mambo binafsi bila kujali ustawi wa jamii au taasisi husika.
Badala yake watu hao hao waliokosa uadilifu wananunuliwa na mtu aliyejengwa kimaadili na SHERIA Kali kwenye nchi nyingine na kuja kuwekeza kwenye vilabu vyetu.
Mfano Mwarabu kutoka Libya au Mashariki ya Kati au MCHINA wamejengwa Kwa kutumia SHERIA Kali za kimaadili , dini na serikali zao. Kuuawa kwa kula rushwa au kuiba Mali ya umma ni adhabu ya kawaida Kwa nchi wanakotoka. Lakini Tanzania mtu akiiba Mali ya umma anapongezwa na jamii na serikali inatumia mamilioni ya pesa kuunda tume na kumshauri kuwa ajitafakari Mwenyewe.
Watu wanapaswa kuhamasishwa Kwa hamasa kubwa na watu waadilifu juu ya kuthamini nguvu zao na michango yao.
Hivi nani mpaka Sasa anajua kuwa Club ya wananchi ilikusanya sh. Ngapi wakati wa kuchangia timu ya wananchi. Baada ya michango ndio akajitokeza mdhamini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yaani wakati timu Haina pesa hakuna mdhamini baada ya kupata pesa akajitokeza mdhamini!!!!
Pesa inapigwa watu wanatengeneza igizo. Mdhamini anakuja .Kwa Nini anawekeza timu yenye wanachama na mashabiki wengi kuliko idadi ya watu wa nchi ya Rwanda. Akili kichwani.
Kwa Nini asiwekeze bil. 30 Mbeya City.? Bila shaka wanachama wanamchango mkubwa sana bila kujali matatizo yao ya akili yanayotokana na kukosa uhuru wa kuwaadhibu na kuwawajiibisha wahuni wanaocheza na hisia na furaha yao.