Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Kama hutaki story za wayahudi achana na Mwamposya maana yeye ndio anazipenda haswa

Acha chuki na wivu fuata mambo yako
 
Kama hutaki story za wayahudi achana na Mwamposya maana yeye ndio anazipenda haswa

Acha chuki na wivu fuata mambo yako
😅 Hujiulizi kwa Nini wanawake wengi ndo wahanga wa haya mambo ya wachungaji? Coz ni rahisi kudanganywa, mnaamini kwa hisia na sio ufahamu.. that's the truth...Mungu hawezi leta mtume muuaji, muongo, tapeli, mwizi etc huyu ni binadamu ambae anatumia ujinga uvivu uwoga na tamaa za watu kujijengea mahoteli wakati waumini wake wako hoi
 
Huyo Mungu ndio alituumba hivyo. Waliowazaa mitume na manabii ni wanawake, aliyekuzaa wewe ni mwanamke, waliomboleza kwaajili ya Kristo ni wanawake, waliopata taarifa ya kwanza ya kufufuka kwake ni wanawake pia... Kwani wewe unaumia nini???
Tulia au utuache na hisia zetu
 
🤣Mi siumii ila wenzetu wanatengeneza chanjo sisi tunaombea ugonjwa uondoke...ndo ujue why tulitawaliwa na wazungu.
 
Jiangalie wewe..shauri yako
 
Habari. Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa 1. Hafungishi ndoa? 2. Hafanyi ibada ya mazishi? 3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?

Una maswali na mtume mwamposa au mtu anaeitwa mwamposa?

Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
 
Mamajusi ni wanawake?[emoji1787]
 
Mwamposa siyo Mchungaji, ni mtume. Hivyo hana mamlaka ya kufungisha ndoa wala ibada za mazishi

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Ndoa anaweza fungisha hata mama yako sio ...dini hizi tumeletewa wewe kuniwekea au kutoniwekea msalaba kwa kaburi langu kisa sikukidhi matakwa ya dini yenu haitasaidia chochote niendapo
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa

1. Hafungishi ndoa?

2. Hafanyi ibada ya mazishi?

3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?

1. Ndoa hufungishwa na wenye vibali vya serikali, huenda Bulldozer hana huo usajili...

Mengine watajibu waumini wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…