Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani huko nyuma Katibu Mkuu wa FAT naye alipatwa na huu mkasa na akabainika ni RAIA WA KENYA.Kibu Denis kazaliwa Tanzania ila wazazi wake Wana asili toka Burundi kwa kuwa walikuwa wakimbizi...
Na taifa stars pia mbona uitaji? Alafu ndo ujiulize hilo swali lako,,, fitna fitna fitnaKwanini leo hii ndo apewe uraia?
Huko Geita, Mbeya City alikuwa anacheza kama raia wa wapi?
Kwani huyo ana uwezo gani mpk afanyiwe fitna na kwa kipi hasa alichonacho?Na taifa stars pia mbona uitaji? Alafu ndo ujiulize hilo swali lako,,, fitna fitna fitna
Sababu ya kwanza,, Uwezo anao na ndio maana kaitwa yeye ambae kwa mujibu wa tff sio mtanzania lkn kaitwa, na hao ambao unaowasema wewe wako nje ambao ni watanzania hawajaitwa.Kwani huyo ana uwezo gani mpk afanyiwe fitna na kwa kipi hasa alichonacho?
Halafu TFF mbona kuna wachezaji wazuri huko nje mpk kesho wanahitaji kuchezea timu ya Taifa ila hawafanyi mkakati wa kuwaombea uraia kama walivyofanya kwa huyu mburundi? Licha ya kuwa mmoja wa wazazi anakuwa ni
Na taifa stars pia mbona uitaji? Alafu ndo ujiulize hilo swali lako,,, fitna fitna fitna
Hii nchi kila kitu ni usanii tu na siasa! Kwa uzembe tu wa kuruhusu raia wa kigeni kufoji taarifa zake na kujifanya ni raia mwenzetu, ilikua ni sababu tosha ya kumfikisha mahakamani! Na baada ya hapo, kumrejesha katika nchi yake husika.Wakuu Mchezaji wa Taifa stars anapewaje uraia leo??
Daaaah So sad figisu za soka letu. Mtu ameshavaa jezi ya Stars leo ndiyo anapewa uraia leo?..
ππππ Tunaposema hii nchi ni ngumu sana, muwe mnatuelewa ndugu zangu! Yaani mambo yanaenda kienyeji enyeji tu!Kwanini leo hii ndo apewe uraia?
Huko Geita, Mbeya City alikuwa anacheza kama raia wa wapi?
Kwahyo alikuwa anaishi nchini kinyume na sheria?ππππ Tunaposema hii nchi ni ngumu sana, muwe mnatuelewa ndugu zangu! Yaani mambo yanaenda kienyeji enyeji tu!
Kwa hali hii ni bora tukawaachia tu wale Waethiopia wa watu wajipitie kwenda zao Afrika Kusini!Kwahyo alikuwa anaishi nchini kinyume na sheria?
Na sheria inasemaje endapo mtu akiwa anaishi kinyume na sheria hapa nchini?
Kwahyo alikuwa anaishi nchini kinyume na sheria?
Na sheria inasemaje endapo mtu akiwa anaishi kinyume na sheria hapa nchini?
Alikuwa anaishi kimbele na SheriaKwahyo alikuwa anaishi nchini kinyume na sheria?
Na sheria inasemaje endapo mtu akiwa anaishi kinyume na sheria hapa nchini?
Hauna haki yaku QUOTE comments zangu ww mbuziAlikuwa anaishi kimbele na Sheria
#kazi iendelee
Timu tulizocheza nazo kama taifa stars na hata simba nongwa hakuna kwa kuwa ni friend mechiJe,timu tulizocheza nazo huyo mchezaji akiwemo zikienda kulalamika kua tulitumia mchezaji wa kigeni itakuaje? Haiwezi kuleta nongwa katika hili?